Serikali ya awamu ya tano chini ya Hayati JPM suala la Ajira lilikuwa si kipaumbele chake.
Ndio maana katika kipindi chake chote cha miaka mitano na miezi kadhaa,kitakwimu ajira zilizotolewa ni chache mnoo ukilinganisha na idadi ya Maelfu ya vijana wanaomaliza vyuo vikuu, vyuo vya ufundi stadi/...