kilimo

  1. Mbunge Bahati Ndingo azungumzia mradi wa kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Usangu

    "Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Nianze kwa kumshukuru Mheshimiwa Rais. Tumetajiwa mabilioni ambayo yanakwenda kuwekezwa. Mradi unakwenda kuwekeza zaidi ya Shilingi Bilioni 15, ni fedha nyingi. Tunaona dhamira ya dhati ya Mheshimiwa Rais kuhakikisha anafanya Wilaya ya Mbarali na...
  2. FAO yavutiwa na BBT, yamsifu Rais Samia kuboresha Kilimo

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza sekta ya kilimo na kuboresha mahusiano na mashirikaya kimataifa. Mkurugenzi Mkuu wa FAO, Dk Qu Dongyu amesema shirika hilo limevutiwa na mradi unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania wa...
  3. L

    Ushirikiano wa kilimo kupitia BRI wasaidia kukabiliana na changamoto za dunia

    Ikiongozwa na uelewa kuwa changamoto za dunia zinahitaji ushirikiano wa pamoja, China imefungua milango yake kwa nchi zote na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda, kupitia program na mapendekezo mbalimbali, kama Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), na kuboresha ushirikiano wa...
  4. Tugeuze kilimo kiwe mgodi wa dhahabu

    Nilikuwa nasoma kitabu cha Marehemu Dr.Reginald Mengi kinaitwa I CAN, I MUST,I WILL nikamnukuu akisema ndani ya kitabu chake tafiti zinaonyesha kwamba; 1. Bonde la mto Ruvu peke yake linaweza kuilisha Afrika Mashariki yote.Eneo la Kilombero linaweza kuilisha Afrika ya Kati yote kwa mchele. 2...
  5. Wakenya, nielekezeni pa kujifunza kilimo cha dragon na kiwi

    Habarini ndugu zanguni! Nimearifiwa kuwa katika nchi za Afrika Mashariki, ni Kenya ndiyo inayoongoza kwa kufanya vizuri kwenye kilimo cha DRAGON na KIWI. Ninakusudia kujihusisha na kilimo cha mazao tajwa. Na, ninaamini, nikilitembelea shamba linakolimwa, naweza kupata ufahamu mpana zaidi...
  6. Nahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha kimkakati (perennial crops)

    Kuna haya mazao hapa Almonds Macadamia Cashew nuts Palm Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa. Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo mavitu? Nimetafiti kidogo ni mazao ambayo yanahitaji kuwa na subira mfano Almonds na Macadamia...
  7. Watanzania wangapi wameshatajirika kupitia kilimo cha korosho?

    Inaonekana ni kati ya mazao yanayouzwa ghali sana. Sisi tunaoishi mikoa ya mbali na korosho inakolimwa, tumekuwa tukiuziwa korosho za kutafuna kwa bei isiyobadilika, miaka nenda miaka rudi. Kwa bei tunayouziwa mitaani na supermarket, inatoa picha kuwa ni bidhaa ghali kuzidi karanga, n.k. Lakini...
  8. Elimu ya kuendesha duka la "mangi" itolewe mashuleni

    Bila shaka duka la mangi ndilo la pili kuajiri watanzaniw wengi baada ya kilimo. Karibu kila mtaa utakuta kuna maduka ya Mangi kuanzia mawili na kuendelea. Umbali wa dakika tano toka hapo ulipo kuna maduka ya mangi mangapi? Watu wengi sana nchi hii wanaendesha maisha kwa kutegemea duka la...
  9. Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

    Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii. Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi...
  10. Kilimo cha Umwagiliaji Ndani ya Bonde la Bugwema - Jimbo la Musoma Vijijini

    Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alidhamiria kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwenye bonde la Bugwema lililoko Musoma Vijijini. Ujenzi wa miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji ilianza kujengwa Mwaka 1974. Mradi ukasimama. Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof...
  11. Mageuzi anayofanya Rais Samia Suluhu kwenye kilimo hayakuwahi kutokea

    Idadi ya watu Duniani inatarajiwa kufikia watu bilioni 10 kufikia mwaka 2050,wakati nchini Tanzania idadi ya watu inatarajiwa kufikia 137 milioni.Idadi hii kubwa ya watu itahitaji chakula kingi ukilinganisha na chakula kinachozalishwa kwa sasa. Idadi kubwa ya watu inahitaji fursa za ajira pamoja...
  12. B

    Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

    Doha 2 October 2023 Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint...
  13. Nahitaji washirika au Mshirika wa kufanya mradi wa kilimo na ufugaji

    Habari wanafamilia wa JF, Nipo Tanga, Nina shamba lenye miundombinu yote ya Kilimo na Ufugaji, kama mabanda, zizi, nyumba ya wafanyakazi n.k. Ila bado tumaji. Kuna maji ya bomba ila hayatoshi kwa kilimo na ufugaji wa kibiashara kwani ni kidogo na yanatoka mara chache kwa wiki. Kama kuna mtu au...
  14. Mapinduzi ya kilimo hayataletwa na jembe la mkono

    Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo. Binafsi nimeona hilo tukio ni la kisiasa sana na lingepaswa kufanywa mwaka 1880 kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa nyakati hizi...
  15. V

    DC Kiteto ni wakati wa kuitisha kikao cha wadau wa kilimo ili kuwaomba radhi

    Kwenye sakata la zao la Mbaazi Kiteto, wakulima na wadau wa kilimo wameumizwa sana na Maamuzi yako yaliyokuwa yamejaa dharau, kiburi na Majivuno. Mara zote ulikataa kusikiliza upande wa Pili wa wadau wa kilimo, wewe ukakumbatia kundi la Madalali. Matokeo yake wakulima waliokuwa na mbaazi zao...
  16. Nini mbadala wa Nishati ya kuni katika kilimo cha tumbaku?

    Habari ndugu wana JamiiForums, nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusiana na jitihada za sekta yetu ya Nishati katika kuibua njia mbalimbali ambazo zimekuwa na tija katika utunzaji wa mazingira kama vile Makaa ya mawe, Gesi asilia n.k. Njia hizi zimeleta mapinduzi katika kuinua Tanzania ya...
  17. TBPL Zalisheni Viuatilifu Hai Ili Kupambana na Wadudu Waharibifu Katika Mazao ya Kilimo

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekitaka Kiwanda cha Kuzalisha Bidhaa za Kibaolojia Tanzania (TBPL) kuzalisha kibiashara viuatilifu hai (Biopesticides) kwa kasi kwa ajili ya kupambana na wadudu waharibifu katika mazao ya kilimo wakati wa msimu wa mvua ujao...
  18. Kilimo cha Bashe hakina dira yoyote, ni porojo tu. Sasa anataka wakulima waisajili mikorosho ili iweje?

    Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini? Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima? Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au...
  19. JIFUNZE: Kilimo bora cha zao la Soya

    Zao la Soya lina protini nyingi yenye ubora wa hali ya juu kuliko iliyoko katika aina nyingine ya mazao ya mimea. Kiasi cha protini katika soya inazidi hata kiasi cha protini katika nyama, mayai na maziwa. Sifa nyingine za zao la soya ni pamoja na kuwa na mafuta yasiyo kuwa na lehemu...
  20. Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

    Bashe na mama Samia wanafanya kweli, bila longolongo: Dar es Salaam. Serikali imetia saini makubaliano yenye thamani ya dola milioni 400 (kama Sh1 trilioni) yenye thamani ya Benki ya Dunia (WB) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa ajili ya kufadhili programu mbalimbali za kilimo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…