Kilindi is one of the ten districts of Tanga Region in Tanzania. It is bordered to the east by the Handeni District and Handeni Town Council, to the north and west by the Kilimanjaro Region and to the south by the Morogoro Region. It split from Handeni District in 2002.
Rais Samia ameagiza waziri ya ardhi na tume yake ya clinic ya ardhi wapige kambi kilindi wahakikishe migogoro yote ya ardhi itatuliwe.
Wilaya ya kilindi ndyo inayongoza kuwa na migogoro ya ardhi tanzania.kuna migogora ya ardhi 267.wasababhshi wakuu ni viongozi.Kwa hili tunamshukuru rais samia
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti.
Kupitia wanasheria wake, Kamotho Njomo & Company, Gachagua alitaka kuzuia Bunge la Taifa kujadili, kumchambua, kupigia...
Rais wangu nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mimi raia wako Rashidi Jumaa kutokea Tanga wilaya ya Kilindi ni mzawa wa huku
Sauti ya mnyonge huwa haisikiki kwa urahisi, nimeona nilitoe dukuduku langu humu kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kero tuliyokuwa nayo na huyu...
Hili daraja lipo Kilindi, katika kijiji cha Matale na Kwekivu.
Daraja hili ni bovu limearibiwa na mvua na mamlaka zipo kimya halijakarabatiwa kabisa na ni adha kwa watumiaji wa njia hii
PART 1.
MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU.
MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE?
MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI.
Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?,
mnatuchuliaje WALIMU...
IGP Sirro amefanya ukaguzi wa kushtukiza wilayani Kilindi ambako wananchi sita wameuawa katika mapigano kati ya Wakulima na wafugaji.
Sirro amesema alijisikua maumivu moyoni baada ya kuelezwa na wanafunzi kuwa wameshindwa kwenda shule wakihofia kuuliwa na wamasai.
IGP Sirro ameahidi kupeleka...
Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.