kilo

Kilo is a decimal unit prefix in the metric system denoting multiplication by one thousand (103). It is used in the International System of Units, where it has the symbol k, in lower case.
The prefix kilo is derived from the Greek word χίλιοι (chilioi), meaning "thousand". It was originally adopted by Antoine Lavoisier's research group in 1795, and introduced into the metric system in France with its establishment in 1799.
In 19th century English it was sometimes spelled chilio, in line with a puristic opinion by Thomas Young.

View More On Wikipedia.org
  1. kbosho

    Ni sahihi kwa mtoto wa miezi mitatu (3) kua na uzito wa kilo saba? (7)....

    Wakuu naombeni ushauri, ni sahihi kwa mtoto wa kike wa miezi mitatu kua na uzito wa kilo 7? ......
  2. Stuxnet

    Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

    Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
  3. Se Busca

    Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

    Pichani ni Eric Mandala Kizenga, raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Fally Ipupa alitunga wimbo maarufu kumsifia mkewe, Maria Piron Mandala (PM). Wimbo huu ulizua gumzo sana, na kuonyesha namna alivyokuwa akimpenda mkewe. Hata hivyo, kuanzia juzi, habari kuhusu Eric Mandala zimekuwa...
  4. CHASHA FARMING

    Bei ya kilo ya Prickly pears tunda ni sh 31,000/ wale wa kule kwetu haya ni mengi sana karibuni.

    Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu haya ni mengi sana. Hii ni Jana nilikutana nayo Shoppers. Prickly pears ingawa pia kuna highbrid yake...
  5. Morning_star

    Kilo moja ya nyama kuuzwa 13,000 ni laana au ni nini?

    Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?. Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya...
  6. Ojuolegbha

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga. Mitungi ya gesi ya kilo 6 yenye thamani ya shilingi milioni 545.538, Itasambazwa kwa bei ruzuku ya shilingi 20,950, badala ya shilingi 41,900 Lengo ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya...
  7. Roving Journalist

    Rufiji: Wawili wakamatwa na Shehena ya Kopa Tani 7.7 waya za kopa Kilo 2,628.5 7.7 za TRC na TANESCO

    Baada ya kutoa taarifa Desemba 12, 2024 ya kukamatwa kwa watuhumiwa wawili wenye asili ya Asia katika operesheni iliyofanyika katika Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji wakiwa na nyaya za copper ambazo zilitambuliwa kuhujumiwa kutoka miundombinu ya TANESCO na Shirika la Reli Tanzania...
  8. KING MIDAS

    Nissan wafanya kufuru, waunda injini yenye uzito wa kilo 40, ina piston 3, zenye kuzalisha horsepower 400

    Nissan creates a small engine weighing 40kg. It's a 3 cylinder block that produces 400 horsepower.
  9. aBuwash

    Wakulima wa Korosho Mtwara, Mnada wa kwanza kilo 4075-4070

    Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070 Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana
  10. D

    Hizi bei za nyama kupandishwa kiholela nani wa kuwasaidia Wananchi? Sasa hivi kilo TZS 12,000/ Bodi ya nyama kazi yake nini?

    Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei. Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni...
  11. N'yadikwa

    Nauza maharage ya Mbeya kilo 350. 3000 kwa kilo 1

    Wateja karibuni bei ya shamba hiyo. DM for business. Location Dar na Katumba
  12. Stephano Mgendanyi

    Madini ya Dhahabu ya shilingi bilioni 3.4 yakamatwa Bandarini yakitoroshwa

    Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio...
  13. dr namugari

    Bei ya unga imeporomoka hadi kufikia shs 1200 kwa kilo ktk Jiji la Dodoma

    Hali iko vip pande hzo, hawali ilikuwa ni elf 2000 na Sasa inashuka kwa kaz kuna jamaa hapa kanitonya kuwa itashuka hadi kufikia Mia nane hadi wa tisa, mahind I ni mengi sna safari hii na mkulima kala chali tena kwani bei imekuwa sokoni wenda kuuza gunia kwa elf 20 Waziri wa kilimo hii siyo...
  14. M

    Msaada: Wapi nitapata rice cooker yenyewe uwezo wa kupika angalau kilo 4 Kwa wakati Mmoja?

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
  15. je parle

    Natafuta machine ya kukandia unga wa maandazi (mixer) ya kilo 12.5 hela mfuko wa shati

    HABARI WANA JAMII NATAFUTA MASHINE YA KUKANDIA MAANDAZI .HATA IKIWA USED AS NEW ITAKUWA POA. Kwa mawasiliano zaidi pm wanangu.
  16. L

    David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na...
  17. N

    Natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28

    Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28. Msaada tafadhali.
  18. Expensive life

    Nimepata dili la kupeleka korosho India kilo 500, wajuzi nipeni ujanja

    Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla? Tax itakuwa bei gani? Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli. Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
  19. U

    Wezi waiba kilo 50 za mahindi ya kande Kanisa la Sabato Kibiti

    Wadau hamjamboni nyote Habari mbaya kutoka. Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na...
Back
Top Bottom