kilo ya mchele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Dar es Salaam kilo moja ya mchele wanashiba watu wanne, Mikoani kilo moja mtu mmoja tatizo liko wapi?

    Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje. Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank. Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili...
Back
Top Bottom