Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara.
Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
Kuna mwamba ameshare Model 3 yake likiwa na odometer ya miles 316,270 ambazo ni sawa na kilometa zaidi ya laki 5.
Gari bado ipo kwenye original battery, na imepungua battery kwa asilimia 15 tu tokea iwe mpya.
Kwa izo kilometa, kama angekua na gari la engine, linalomtaka afanye oil change...
Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
Ni kutoka China tena.
Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji.
Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni.
Tuwe na uvumilivu na...
Ata sio issue kubwa.
Ila kuna Model S yenye miaka 8 tokea itengenezwe, odo inasoma kilometa 690k, original battery, imejaribishwa na kuonekana imepoteza range ya kilometa 65 tu kutoka original range ikiwa mpya.
Chuma bado iko poa, kasoro tu uchakavu wa kawaida interiors na nje.
Tunajaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.