kilungule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    KERO Shida ya umeme Kimara Kilungule

    Habari viongozi na wadau wa TANESCO, hii shida narudia tena kuitandika hapa, njia hii ya umeme kutoka kimara baruti kwa miaka mingi haishi matatizo, toka enzi zile transfoma ipo juu hadi ikashushwa chini na mafundi wetu kidogo hali ikabadilika, likaja tatizo la umeme kupungua, ikawekwa transfoma...
  2. A

    KERO Uhaba wa maji mtaa wa Simba, kata ya Kilungule Bunju Beach

    Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote. Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea bili,sasa tunahoji kama yanaweza kutoka kwanini muda mwingine hayatoki? Inatulazimu kununua maji kwa...
  3. Peramiho yetu

    Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

    Hali kwa sasa ishakuwa Tete leo majira ya saa Saba usiku kundi la vijana wapatao 50 wamejeruhi watu watatu nakuiba pesa na Mali Kama tv halI ya majeruhi n mbaya Sana wapo temeke hospitali. Tunaomba serikali iwape nguvu Zaid jeshi la polisi na mgambo kwa vifaa na ujuz pia. Huku tozo huku wizi...
Back
Top Bottom