Habari viongozi na wadau wa TANESCO, hii shida narudia tena kuitandika hapa, njia hii ya umeme kutoka kimara baruti kwa miaka mingi haishi matatizo, toka enzi zile transfoma ipo juu hadi ikashushwa chini na mafundi wetu kidogo hali ikabadilika, likaja tatizo la umeme kupungua, ikawekwa transfoma...