kilwa

Kilwa Kisiwani ('Kilwa Island') is an island, national historic site, and hamlet community located in the township of Kilwa Masoko, the district seat of Kilwa District in the Tanzanian region of Lindi in southern Tanzania. Kilwa Kisiwani is the largest of the nine hamlets in the town of Kilwa Masoko and is also the least populated hamlet in the township with fewer than 1,000 residents.
At its peak in the Middle Ages, Kilwa had over 10,000 inhabitants. Since 1981, the entire island of Kilwa Kisiwani has been designated by UNESCO as a World Heritage Site along with the nearby ruins of Songo Mnara. Despite its significant historic reputation, Kilwa Kisiwani is still home to a small and resilient community of natives who have inhabited the island for centuries. Kilwa Kisiwani is one of the seven World Heritage Sites in Tanzania. Additionally, the site is a registered National Historic Site of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. nipo online

    Naomba msaada wa uzi wa Mpwayungu ''Sitosahu Safari yangu ya Lindi''

    Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
  2. Mkalukungone mwamba

    Mtalii Raia wa Ufaransa apatikana akiwa hai baada ya kupotea katika Bahari ya Hindi, eneo la Kisiwa cha Songosongo, Wilaya ya Kilwa

    Raia wa kigeni kutoka Ufaransa, Nakar Fszman (51), amepatikana akiwa hai baada ya kupotea katika Bahari ya Hindi, eneo la Kisiwa cha Songosongo, Wilaya ya Kilwa. Fszman alipotea Februari 23, 2025, wakati akifanya utalii kwa kutumia Boti aina ya Kayati maarufu kama Kidau, inayotumia kasia...
  3. The Watchman

    Kilwa: Tanroads yaanza kazi urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja iliyoathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya

    Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na madaraja ambayo yameathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya. Wakizungumza wakati wa ziara ya...
  4. Ojuolegbha

    Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa

    Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa Februari 3, 2025 Meli ya kifahari ya Ledumont D'urville ikiwa na watalii 146 kutoka nchi za Marekani, Uingereza, Australia, Ufaransa, na Italia waliofika na kutembelea hifadhi na fukwe ya kihistoria ya Kilwa Kisiwani. Hii ni meli ya tatu...
  5. C

    KERO Kata ya Kibata wilaya ya Kilwa ina miundombinu ya barabara mibaya na kupelekea maisha kuwa magumu

    UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
  6. K

    KERO Halmashauri ya Kilwa jitahidini mlipe walimu nauli ya likizo kwa wakati

    Habari Wadai, Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu husika anaacha kudai nauli yake ya likizo Kwa urasimu uliopo. Kwa mfano, Kuna walimu kadhaa idara...
  7. ACT Wazalendo

    Pre GE2025 Jeshi la Polisi Limezuia Mkutano wa ACT Wazalendo Kilwa

    Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara Kilwa Kusini uliokuwa uhutubiwe na Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Katazo hili ni mwendelezo tu wa jeshi hilo kukubali Kutumika Kisiasa na chama tawala. #TaifaLaWote #PolisiwaWote #MaslahiYaWote
  8. Pfizer

    Bandari ya uvuvi ya Kilwa kuleta mapinduzi ya sekta ya uvuvi Tanzania

    Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi huu ni hatua muhimu katika mkakati wa Tanzania wa kukuza sekta ya uvuvi wa bahari kuu na kuboresha...
  9. Lawrance franci

    Computer4Sale Laptop aina mbalimbali zinauzwa

    HP MIN LAPTOP 300,000/= TU INa RAM 2 GB HDD 160 SCREEN SIZE 10.1 Refuerbished Ina Kaa na charge Masaa 10 Call Me 0716889489
Back
Top Bottom