Kilwa Kisiwani is a community on an Indian Ocean island off the southern coast of present-day Tanzania in eastern Africa. Historically, it was the center of the Kilwa Sultanate, a medieval sultanate whose authority at its height in the 13th-15th centuries stretched the entire length of the Swahili Coast. Kilwa Kisiwani has been designated by UNESCO as a World Heritage Site along with the nearby stonetown Songo Mnara.
Hii barabara ya Kilwa kipande cha kushuka hapa Kokoto kuja daraja la Mzinga mpaka Kongowe imeshakuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa huku maana foleni haziishi sababu barabara ni nyembamba kiasi gari likiharibika hapo ni majanga inabidi mkae foleni mpaka either gari litolewe au askari wasimamishe...
Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi nyingi hazipo kwny junction zaidi ya vivuko vya waenda kwa miguu. Wahusika hasa temesa waliangalie...
Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu.
Not fair! Huku kwetu kura mnazoaga tu, kwa nini mnatunyanyasa?
Sijui hata cha kusema!
Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi sasa.
Lengo la taa limelenga kuvusha watembea kwa miguu salama lakini kwa upande wa pili linakwenda...
Maendeleo hayana chama, aliyetoa fedha kwa ajili ya mataa Kilwa Road anastahili pongezi.
Zama za kuviziana zimefika tamati.
Pia soma:
Barabara ya makutano ya VETA na Chang'ombe hakuna mataa na taa za barabarani hazifanyi kazi, ni hatari kwa wananchi
Barabara ya Ilala Boma iwekwe mataa ya...
Makampuni ya mabasi yanafanya ruti za kusini kupitia kilwa road muwaonee huruma abiria wenu sio mnawachukuwa Dar es salaam mkiwaahidi kwamba Somanga panapitika alafu mnakuja kuwapaki Somanga masaa mengi na kusababisha usumbufu na kero kwa abiria zenu huu sio uungwana jaman.
Nawasilisha..
Habari wanajamii,
Naomba msaada ili serikali iweze kuwajibika kutokana na changamoto ya Kilwa road kutoka kokoto mpaka vikindu.
Kutokana na ubovu na wembamba/udogo wa hiyo Barabara basi imekuwa ni sehemu hatarishi Kila kukicha.
Usipokuta ajali basi kuna gari limeharibika kitu kinachoweza...
Wakuu habari zenu,
Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendokasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa, kwenda ni gari moja, kurudi ni gari moja. Hivi ikitokea gari limeharibika njiani itakuwaje?
Wanaohusika naomba mlitafakari...
Wakuu!
Jana nimetembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa kipande hiki cha barabara kutokea mbagala hadi kariakoo! Hakika inapendeza sana. Asilimia kubwa imekamilika hivyo soon mradi huu utakuwa unaanza kazi!
Lakini tofauti niliyoiona ni kuwa ile awamu ya kwanza ambayo ilijengwa Na strabag...
Njia kuu za kuingia na kutoka jiji la Dar ni Morogoro Road na Kilwa Road.
Kinachosikitisha ni kwamba njia ya Kilwa haina mbadala mzuri pale magari yanapoziba njia, labda mtu apite Magogoni au darajani .
Tofauti kubwa unapopita Morogoro RD barabara za mchepuko ziko nyingi: 1. Selander Bridge...
Hili vumbi linalotimka si la kitoto. Mradi wote huu wa mwendokasi huku Barabara ya Kilwa, tunaiomba serikali wambane sana huyu mkandarasi amwagie maji muda wote barabara ili kupunguza vumbi hili yaani tunateseka sana.
Pale chini mto Kizinga unatiririsha maji mengi hakukua na sababu sisi wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.