Tunaweza kuliweka kisiasa na kiushabiki sana kuhusu silaha hatari za nyuklia kama kuongea kujifurahisha.
Silaha za nyuklia ni hatari sana kimatumizi na kama zikitumika zote tusitegemee kuwepo duniani.
Kuna aina nyingi za mabomu ya nyuklia na kila kukicha teknolojia inazidi kuongezeka.
Kama...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema inalaani hatua ya Korea Kaskazini kupeleka silaha kwa kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group.
Wizara hiyo imesema leo pia inaunga mkono shinikizo la Marekani kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
Wapinzani wa mtawala wa North Korea ambao wengi wao wako korea ya Kusini wamekuwa wakipeleka misaada jamaa zao walioko Korea ya Kiduku kwa kutumia maputo maalum yaliyojajwa hewa ya helium. Misaada amabayo imekuwa ikipelekwa kwa njia hiyo ni pamoja na madawa, barakoa na tembe za Vitamin c...
North Korea has expressed its readiness to resume inter-Korean talks on officially ending the 1950-53 Korean War based on mutual respect.
“I believe only when fairness and mutual respect can be maintained smooth communication between the North and the South can take place,” said Kim Yo-jong, the...
Televisheni ya Taifa la Korea Kaskazini imerusha maoni ya wananchi kuhusu afya ya Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong-un baada ya video iliyokuwa ikimwonesha kupungua uzito kusambaa, hali ya nadra kutokea nchini humo kwa afya ya kiongozi wa nchi kujadiliwa kwenye chombo cha habari.
Korea Kaskazini...
Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani kufuatia majaribio ya silaha za nyuklia...
Unaambiwa Mtoto wa Kim Jong-Un, Kim Lau Jong-Un ambae kwa Sasa ana Umri wa Miaka 13 Ndie Luteni wa Jeshi la Nchi ya Korea Kaskazini.
Aliapishwa Kuwa Luteni Mwaka 2017 akiwa na Umri wa Miaka 9,Mtoto huyo anaandaliwa Kuwa Mkuu wa Majeshi na Kiongozi wa Nchi hiyo Siku Baba yake Kim Jong-Un atakapo...
ULINZI WA KIM JONG "KIDUKU".
Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’ mwenye nia ovu kumsogelea Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un.
Huyu ni kiongozi ambaye vyombo vya...
Sijawahi kuwaona hawa Marais wawili wakifanyiwa interview. Ni kawaida kuwaona wakuu wa nchi wakihojiwa kuhusu vitu mbalimbali. Mahojiano hayo huwapa fursa waandishi wa habari kuwauliza viongozi maswali ambayo wananchi wangependa kujua majibu yake.
Kwa mfano, kama ningepata fursa ya kukaa na...
Habari!
Kumekuwa na sintofahamu hivi sasa nisemapo maneno haya hasa katika ukanda wa rasi ya Korea ambapo Korea Kaskazini imeendeleza wimbi la vitisho kwa jirani zake na hivi karibuni imetishia kuzitumia silaha zake za nyuklia endapo kutaibuka mashambulizi dhidi yake.
Wakati hayo yakiendelea...
Nilipokuwa nikisoma kuhusu dada yake kiongozi wa Korea Kaskazini aitwae Kim Yo-jong nikapata kidogo ufahamu wa chumba kiitwacho Room 39 ambacho inasadikiwa kuwa mume wake dada huyo aitwae Choe Song ambae ni mtoto wa mtumishi wa serikali Chong Ryong-hae nae anafanya kazi ndani ya chumba hicho...
April 26, 2020
New York City
USA
Gazeti la New York Times lajaribu kutengua kitendawili alipo Kim Jong-un
Ni rahisi wajuvi wa mambo kutambua alipo kiongozi yeyote hata kaliba ya Kim Jong-un kiongozi wa Korea ya Kaskazini ambapo kuna usiri mkubwa wa kuweza kupata habari. Hivyo nguli wa...
Taarifa zinazosambaa kwenye vyombo mbalimbali vya habari duniani zinasema Rais wa Korea Kaskazini ana hali mbaya kwenye hospitali alipolazwa baada ya kufanyiwa Operation ya moyo.
Vyombo vingine vya habari hasa vya Marekani vimeenda mbali zaidi na kusema "inawezekana" akawa ameshafariki tayari...
Mtandao wa TMZ wa nchini Marekani umeripoti kwamba kiongozi dikteta wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amefariki dunia au yuko kwenye hali mbaya ambayo ni ngumu sana kupona baada ya operesheni yake ya moyo kutofanyika vizuri.
Wiki hii China ilituma timu yake ya wataalam wa afya kwenda kusaidia...
US President Donald Trump has sent a birthday message to North Korean leader Kim Jong-un, said South Korean National Security Advisor Chung Eui-Yong.
Speaking with reporters, the official, who met with POTUS this week, said he had been given a message to pass to North Korea, which was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.