Tizama hi video kwa makini kabla ya ku-comment.
Kiongozi wa Korea kasikazini amelegeza mashariti kwa dini moja tu uko nchini kwake baada ya kushuhudia great miracle en Wisdom katika kitabu cha Qur"an tukufu, wakati anaingia madarakani 2011 Uislamu kama dini zingine zilikua marufuku nchini...
Kim Jong Un Alihudhuria shule ya serikali ya Liebefeld Steinhölzli huko Köniz, karibu na Bern, chini ya jina "Pak-un" au "Un-pak" kutoka 1998 hadi 2000 kama mtoto wa mfanyakazi wa ubalozi wa Korea Kaskazini huko Bern
Wanasiasa ni wale wale duniani kwote wanahubiri maendeleo ila watoto wao...
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao...
Waziri wa ulinzi wa Korea Kusini, Kim Yong-hyun, amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba wanajeshi sita wa Korea Kaskazini waliuawa katika shambulizi la makombora nchini Ukraine karibu na Donetsk mnamo tarehe 3 Oktoba.
Hii inakuja wakati ambapo mahusiano kati ya Pyongyang na Moscow yanazidi...
Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa.
Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...
Wawili hao wamesain makubaliano kwamba endapo mmojawapo atashambuliwa, basi ni kama wote wameshambuliwa.
Tunaelekea kwenye mgawanyiko ambapo endapo vita itapigwa, basi mwishowe kila mmoja lazima awe na upande alochaguwa.
Mafano wiki kadhaa zijazo, NATO nao wanakaa kikao kujadili namna ya...
Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.
Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
Wakuu,
Nimekutana na taarifa imepostiwa na Times FM ikiwa na maneno yanayodaiwa kutamkwa na Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini Kim kuwa anashangaa jinsi wazungu walivyofaulu kuwaaminisha Waafrika kwamba mitala ni dhambi lakini LGBTQ+ ni haki ya binadamu. Waafrika wanapaswa kujifunza jinsi ya...
STAAJABIKA NA KIM JONG-UN (ALMAARUFU KWA JINA LA KIDUKU) RAIS WA KOREA KASKAZINI.
Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho katika uzao wa Kim jog-il (raisi wa pili wa Korea Kaskazini).
Kwa sasa ndiye kiongozi wa nchi hiyo na alichukua cheo hicho baada ya kifo cha baba yake Dec 19, 2011.
Kim...
Hapa jana kwenye chakula cha jioni:
Neno "rafiki" lilitumiwa mara 12 kwenye chakula cha jioni kwa heshima Ya Kim Jong-un. Pia kulikuwa na vifungo vya urafiki, hali ya urafiki na hata urafiki wa urafiki. Kwa wengine, nostalgia, na kwa wengine, ukweli.
(1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa mwaka 1912.
(2) Korea Kaskazini ina mfumo wake (operating system) kwenye upande wa computers zao...
Huko South Korea kuna picha zimeonekana bwana kiduku akimpleka binti yake sehemu ya kurusha makombora. Wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka na samaki mkunje kabla hujamkaanga.
Mtoto huyu inaonesha kuandaliwa kwenye uongozi.
Imefahamika kuwa Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un alipata homa wakati wa maambukizi ya Uviko-19, hayo yamesemwa na dada wa kiongozi huyo, Kim Yo-jong.
Kwa kauli hiyo ni wazi anathibitisha Kim Jong alipata maambukizi kama ilivyodaiwa, lakini Yo-jong amelaumu Korea Kusini kwa kudai walirusha...
Korea Kaskazini imetangaza kuwa inatarajia kutumia madaktari wa jeshi lake katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona katika Mji wa Pyongyang.
Agizo hilo limetangazwa na Kim Jong Un ambaye ni Kiongozi wa Korea Kaskazini ikiwa ni siku chache baada ya maambukizi kuzidi kusambaa Nchini...
Je, Kim Jong Un atasimama upande wa Putin? Unaonekana kuna uswahiba kati yao.
Video ikirejea Siku ambayo Rais wa Urusi Vladimir Putin alivyokutana na Rais wa Korea kaskazini Kim Jong Un.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.