NIGERIA: Vyama na Umoja wa Wafanyakazi vimetangaza kusitisha Mgomo ulioanza Juni 3 baada ya Serikali kufanya mabadiliko kidogo ya Kima cha Chini cha Mishahara kutoka Tsh. 52,200 hadi Tsh. 104,400
Licha ya usitishwaji wa Mgomo huo ulioripotiwa kuathiri kwa muda huduma muhimu, bado kiwango...