Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.
Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao...
Ninaandika ujumbe huu kupinga vikali wito wa kufungwa kwa mtandao wa X (zamani Twitter) unaotolewa na baadhi ya viongozi wa dini na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM). Ninaamini kufungia mtandao huu sio suluhisho bora kwa changamoto za maadili tunazokabiliana nazo kama...
Zamani ilikuwa inajulikana kuna vijana wa hovyo walikuwa wakijiita wadudu wa dampo jijini Arusha ambao hasahasa walikuwa wakijihusisha na muziki wa Hiphop. Na hata wengi wao walikuwa wakivuka adolescence hubadilika na kuwa na tabia za kiutu uzima ikiwamo kuacha kujiita mdudu wa dampo. Hawakuwa...
Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu.
Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.
Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama...
Habari wana JF!
Ndugu zangu ninawaomba kila mmoja kwa wakati wake akiweza apite kwenye tawi lolote la NSSF nchini atake kupatiwa huduma yeyote ajionee jinsi pesa za walipa kodi zinavyotumika kulipa wapiga stori wanaojiita wafanyakazi.
Nimewahi kufika tawi la Arusha mjini kwenye kitengo cha...
Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra.
Tanzania imepata bahati nyingine ya...
Labda ningependa kuwatafakarisha watanzania wenzangu kwa jambo hili.
Hivi tunaweza kutoza shilingi ngapi ili kuruhusu mtu kuzidisha mwendo kasi kwenye barabara za makazi ya watu? Au kumruhusu mtu kukata viungo vya albino? Au kufanya uwindaji haramu kwenye mbuga na bahari?
Ninacho jaribu kusema...
Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani, Serikalini.
1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi
2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako
3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi...
Peace,
Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.
Sipati majibu.
Hivi kweli Sasa hivi ninapoandika hii post JF, Jaji Biswalo anaenda mahakamani, anapigiwa saluti, anasikiliza kesi za wezi, wanaotumia mamlaka vibaya, halafu anawafunga? Kweli kabisa? Mtu ambaye ametapakaa Kila aina ya tuhuma, anaenda kuwafunga watu ambao alitakiwa awe nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.