kimahaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Metronidazole 400mg

    Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

    Kuna huyu jamaa jirani na nyumba niliyopanga, aisee nimeshindwa kumwelewa, akiwa huko faragha na mpenzi wako anagugumia/kulia kimahaba MPAKA kero....yaani wakigegedana huko yeye ndio anatoa makelele kupita hata huyo demu wake. Sasa nimejiuliza hii ni kawaida kweli??, kikawaida na uzoefu wangu...
  2. Ncha Kali

    Love Languages (Lugha za kimahaba)

    Je, wajua ni ipi lugha yako ya kimahaba? Japo tunaweza kusema kuwa haya ni mambo ya wazungu. Lakini kihisia binadamu wote tupo sawa huku tukiwa na tofauti ndogo ndogo zinazotutofautisha na wengine. Zipo lugha kadhaa zilizothibitishwa kutumika kati ya mtu mmoja na mwingine linapokuja suala la...
  3. S

    Siwezi kumuita mpenzi wangu majina ya kimahaba

    Namuitaga tu jina lake mambo ya kumuita baby sijui mpenzi sijui honey naonaga ulimi mzito na iyo ni kwa mademu zangu ote niliokuwaga nao
  4. M

    Yupo soo addicted na miguno ya kimahaba

    Kweli hapa duniani kuna maajabu sana wadau Hivi kweli inawezekana kabisa mtu akawa anapenda kusikia zile sauti za watu wakiwa wanafanya mapenzi? Yaani jamaa yeye ndio starehe yake, akisikia sauti za mwanamke anapelekewa moto eti yeye ndo anaenjoy kweli?? Tena anasema kabisa zile kelele...
  5. Ukwelinasema

    Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

    Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Nimefanya kazi na mume wangu pia, anafanya kazi serikalini, kwahiyo nyumbani kwetu tunaishi na mfanyakazi. Tukiwa tunatoka asubuhi tunatoka wote mimi na mume wangu ananiacha kazini kwangu yeye anaenda...
Back
Top Bottom