Je, wajua ni ipi lugha yako ya kimahaba?
Japo tunaweza kusema kuwa haya ni mambo ya wazungu. Lakini kihisia binadamu wote tupo sawa huku tukiwa na tofauti ndogo ndogo zinazotutofautisha na wengine.
Zipo lugha kadhaa zilizothibitishwa kutumika kati ya mtu mmoja na mwingine linapokuja suala la...