Asalaaaaamu, Britanicca hapa!
Matumaini yangu ni wazima !
Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake!
Kagame mnyoshee mikono!
Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri.
Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu ya laki tano ila kipato chake kinamruhusu amiliki ya laki moja, mtu huyu ambaye ana simu ya laki...
Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri.
Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu ya laki tano ila kipato chake kinamruhusu amiliki ya laki moja, mtu huyu ambaye ana simu ya laki...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,,
Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo.
Tukaenda kula bata Billcanas.
Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani.
Mwamba...
UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔
1.Wanaume/wanawake wote hawafai.
2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji.
3.Nawachukia sana wanaume/wanawake
4.Hata wewe ni wale wale tu.
5.Siwezi kumuanini tena mwanamke/mwanaume.
KUNA KAZI KUBWA SANA KUISHI...
Hebu sema ukweli wako?
Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi?
#nyumayapazia
Mahusiano sio kitu rahisi
Wengi wanaamini kufanya tendo la ndoa ndio mahusiano, hilo si kweli; mahusiano ni zaidi ya tendo.
Mahusiano ni sawa na kuunganisha kampuni A na B, zenye mitazamo tofauti, na hatimaye kujiwekea makubaliano kwa vile vitu mnavyofanana na kutengeneza kampuni mpya C...
Waungwana salamu kwanza kama ilivyo desturi yetu.
Hii week kwangu ilikuwa hectic kidogo lakini pia nilipata nafasi ya kusafiri hadi kanda ya ziwa ndani ndani huko na kukutana na watu wapya hivyo kupata uzoefu mpya, wabheja sana wanawane.
Haya nirudi kwenye mada sasa. Mwanamama anamiliki vitu...
Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani..
Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata...
Wakuu nisiwachoshe msinichoshe...kifupi tusichoshane...
Nimeangalia matokeo ya hii sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 asee hali sio hali kwa swala zima la kimahusiano. Kama hatua za makusudi na madhubuti hazitachukuliwa kuhakikisha tunaongeza na kuwekeza kwenye kuzaa watoto wa kiume basi...
Ngoja nimtafute mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge naye ndoa ya Bomani ili niishi kwa afya, amani na furaha. Hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.
Katika kumpenda mtu huwa kuna vitu vingi sanaaa na tunatofautiana.
Kuna Wavulana wanaona mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anabamba sana na Wapo wengine hupenda wanawake modell au Wembamba..
mwengine hivo vyote haangalii unakuta anachojali ni Kukutana na mwanamke fundiiii, yani kitandani...
Kujua kutasababisha kuokoa mda utakaosaidia katika kulijenga taifa.
Utakuta umewekeza zaidi ya miezi miwili kwa mtoto wa mtu, mwisho wa siku ni kutokujibiwa text, kublokiwa, na kadhalika. Unakuwa umepoteza mda wako bure.
Utajuaje hapa napoteza mda na huyu msichana ajavutiwa nami. Ukute men ni...
1. Siku hizi kuna Wanaume kwani?
2. Sina hata haja na Wanaume.
3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu.
4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu.
5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae.
6. Wanaume ni Waongo sana.
7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
Ingekuwa mzuka sana kama ungeweza kumuona msichana mrembo mtaani, au pengine College au eneo la kazi na kumfuata na kuondoka nae mpaka nyumbani kwako kwa ajili ya kumtafunisha muwa. Lakini sio rahisi hivyo, moja kati ya vitu challenging katika maisha ya mwanaume ni jinsi ya kuomba mchezo.
Ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.