Wakuu kwema?.
Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
Nikiwa kama mwananchi eneo hilo (Kasino Kwa Msango Gulani) Tafadhali tunaomba Serikali iingilie kati mana viongozi wanashindwa tusaidia hili, tuna ukosefu wa maji kwa miezi miwili kasoro sasa na ubaya ni kwamba bill zinakuja ila maji hayafiki tupo kama jangwani sasa.
Hakuna yoyote anaeongelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.