Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria.
Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda...
Habari za muda,
Mimi ni mdau kutoka Kimara Temboni Saranga mtaa wa Majeshi, tuna changamoto ya maji kukatika ni wiki ya pili sasa hivi inaelekea na tumesharipoti kwa DAWASA lakini hadi hivi sasa hatuna huduma ya maji inabidi tuende hadi umbali kadhaa kupata maji na imefikia hatua tunanunua maji...
Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla.
Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio.
Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
dar
dar es salaam
dawasa
forums
habari
hatuna
hawana
jamii
jamii forums
jana
kero
kimarakimaratemboni
lini
maji
mbili
tuna
ukosefu
ukosefu wa maji
wakazi
wiki
zaidi ya
zake
Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
Kumekua na tatizo la maji kwa zaidi ya wiki sasa maeneo ya Kimara Temboni kwa Msuguri.
Taarifa zilizopo ni kuwa kumekuwa na tabia chafu ya watumishi wa DAWASA kuchepusha maji kwa nia ya kufanya biashara na kujiingizia kipato.
Shida ya maji imejitokeza tena kipindi hiki ambapo eneo kubwa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.