DAR ES SALAAM, TANZANIA, 13 Septemba, 2022 – Leo Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kimarekani kutembelea Tanzania Bara na Zanzibar. Ziara hiyo itafanyika kutoka tarehe 27...