Nalenga kupanua wigo wa kufikiri!
Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai?
Vipi Thailand?
Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China!
Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi?
🙏🙏🙏
Ukiangalia wanasiasa wetu nchini, wengi, ima ni wababaishaji au watu waliofeli katika karibu kila jambo. Je ni kwa sababu siasa huwa haina miiko kama vile viwango vya elimu, uadilifu, uzoefu na mengine kama haya?
Je ni kwa sababu siasa ni haramu iliyohalalishwa ili wachache kuwatawala, kuwaibia...
Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
bado
confidence
english
english medium
hata
huwa
kimbilio
kitu
kuishi
kwao
kwenda
lugha
nje
pekee
shida
ugumu
waganda
wakenya
walimu
wanafunzi
wao
watanzania
watoto
watoto wetu
wazambia
Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar.
Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
Wakati mwingine mwanadamu anapata taabu na shida kama maradhi. Maradhi kama ya saratani na mengineyo. Inatokea mpaka mwanadamu kwa maumivu ayapatayo na maradhi yake si yenye kutarajiwa kupona basi kwa taabu na shida anaamuwa kuomba bora afe. Hili pia limekatazwa kwenye uislamu. Lakini mtu akiwa...
Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO.
NATO sasa inawaza...
Kuna vitu huwa najiuliza watu wengi wakiwa na pesa hujitenga sana na watu masikini tena hawa masikini hata wakiwatafutaga huwa simu zao hazipokelewi lakini sasa inapotokea watu wenye pesa wana shida basi kimbilio lao la kwanza ni kwa watu masikini.
Yaani unashanga mtu kipindi ana pesa alikuwa...
Ni kawaida kwa binadamu kutafuta faraja pale anapoumizwa.
Katika vyama vya siasa watu huumizana sana na kuvurugana, wengine hufikia kiasi cha kutishiana maisha. Ikifika hali hiyo wengine hukimbia kwa jirani kutafuta faraja. Wapo ambao huwa hawarudi kabisa, wengine hurudi kama amani ikilejea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.