Ni kawaida kwa binadamu kutafuta faraja pale anapoumizwa.
Katika vyama vya siasa watu huumizana sana na kuvurugana, wengine hufikia kiasi cha kutishiana maisha. Ikifika hali hiyo wengine hukimbia kwa jirani kutafuta faraja. Wapo ambao huwa hawarudi kabisa, wengine hurudi kama amani ikilejea...