kimbunga freddy

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Rais Samia atembelea Maeneo yaliyoathirika na Kimbunga Freddy, Blantyre nchini Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  2. Lady Whistledown

    Upadate: Idadi ya Vifo vya Kimbunga Freddy yazidi 1,000

    Rais Lazarus Chakwera ametangaza idadi ya watu waliofariki kutokana na Kimbunga #Freddy nchini #Malawi imeongezeka na kufikia zaidi ya watu 1,000. Hakutoa maelezo ni kwa nini idadi ya vifo iliongezeka kwa kasi kutoka kwa makadirio ya zaidi ya watu 500 mnamo Machi 20, japokuwa Mamia ya watu...
  3. JanguKamaJangu

    Malawi: Watu 537 waliopotea baada ya Kimbunga Freddy kutangazwa kuwa wamekufa

    Ripoti ya Polisi imeeleza watu wengi wamepotea kwenye matope baada ya Dhoruba ya kimbunga, licha ya kutumia mbwa katika msako wa kuwatafuta bado imekuwa ngumu, hivyo wanaamini inawezekana wamepoteza maisha. Ripoti imeeleza baada ya msako wa siku 17 bado imekuwa ngumu kufanikisha zoezi hilo na...
  4. Lady Whistledown

    Zaidi ya Watu 400 hawajulikani walipo kutokana na Kimbunga Freddy nchini Malawi

    Mamlaka zimesema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kutokana na Kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku baadhi ya nchi kama Tanzania, Britain na Zambia zikiendelea kutuma misaada ya kibinadamu pamoja na vikosi vya uokoaji. Idara ya Masuala ya Kukabiliana na Majanga ya...
  5. Lady Whistledown

    Idadi ya waliofariki kutokana na kimbunga Freddy yapita 500

    Idadi ya waliofariki kutokana na Kimbunga #Freddy kilichodumu kwa takriban mwezi mmoja, imeongezeka hadi 522, kulingana na mamlaka nchini Malawi, Msumbiji na Madagascar. Shirika la hali ya hewa Duniani( WMO) linasema kuna uwezekano kuwa CycloneFreddy, kilichoanza Mwezi Februari, 2023 na...
  6. BARD AI

    Malawi: Waliofariki kwa Mafuriko ya Kimbunga Freddy wazidi watu 400

    Idadi hiyo inajumuisha Vifo vilivyotokea tangu Kimbunga hicho kilipoingia Barani Afrika Februari 2023 ambapo watu 326 ni kutoka Malawi, 53 kutoka #Msumbiji na wengine 27 kutoka #Madagascar. Wizara ya Maliasili na Mabadiliko ya Hali ya Hewa imesema licha ya dhoruba kutoweka, bado Mvua kubwa...
  7. BARD AI

    Malawi yaanza Maombolezo ya Siku 14 baada ya Kimbunga Freddy kuua watu 225

    Uamuzi huo umetangazwa na Rais Lazarus Chakwera ambaye pia ameagiza Bendera kupepea Nusu Mlingoti kwa siku 7. Hadi sasa zaidi ya Watu 19,000 wamepoteza makazi yao na wengine hawajulikani walipo kutokana na athari za Kimbunga Freddy. Aidha, Rais Chakwera amesema Mkutano wa Dharura wa Baraza la...
  8. JanguKamaJangu

    Malawi: Kimbunga Freddy chasababisha vifo vya watu 200

    Kimbunga hicho kinachoambatana namvua na upepo mkali kimesababisha mafuriko na uharibifu wa makazi na miundombinu na kuna uwezekano wa kongezeka kwa madhara zaidi. Mashirika ya misaada yanaonya kwamba uharibifu uliotokea utaongeza mlipuko wa kipindupindu na Serikali imetangaza maafa katika...
  9. JanguKamaJangu

    Kimbunga Freddy chaua watu 109 Malawi na Msumbiji

    Idadi ya waliofariki upande wa #Malawi ni 99 na 10 kwa Msumbiji wakati 16 wakiwa hawajulikani walipo Nchini Malawi. Inaelezwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali zaidi ya nyumba 300 zimeathiriwa wakati idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga hicho ni 1,350 Kusini mwa Malawi...
  10. BARD AI

    Kimbunga Freddy chaua watu 15 Malawi

    Polisi nchini Malawi wamesema takriban watu 15 wamefariki na wengine 16 hawajulikani walipo kutokana na uharibifu uliosababishwa na dhoruba ya kitropiki Freddy. Pamoja na kukatika kwa mawasiliano bado haijulikani ukubwa kamili wa uharibifu na idadi ya waliojeruhiwa. Polisi wamesema watu...
  11. BARD AI

    Malawi yafunga Shule kukwepa Kimbunga Freddy

    Mamlaka ya elimu nchini Malawi imezifunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji. Kwa mujibu wa BBC, mvua kubwa inayonyesha kusini mwa Malawi imeharibu barabara na kusitisha uzalishaji wa umeme, huku...
  12. JanguKamaJangu

    Kimbunga Freddy chaendelea kusababisha athari Msumbiji

    Ndani ya wiki mbili Kimbunga Freddy kumesababisha madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha kifo cha mtu mmoja kilichotokana na kuangukiwa na nyumba, kuharibu nyumba na kusababisha moja ya bandari kusitisha kutoa huduma huku zaidi ya watu 171,000 wakiathiriwa. Picha za satellite zinaonesha mvua...
  13. JanguKamaJangu

    Msumbiji hatarini kukumbwa na mafuriko makubwa kutokana na Kimbunga Freddy

    Kimbunga hicho ambacho kimetokea Kaskazini Magharibi mwa Australia zaidi ya siku 30 zilizopita kinaendelea na kina uwezekano wa kuweka rekodi ya kuwa kimbunga kilichodumu muda mrefu zaidi. Kwa sasa kimbuga hicho kipo Kusini mwa Msumbiji na Pwani ya Madagascar kikiwa na kasi ya kilometa 160 kwa...
  14. JanguKamaJangu

    Mauritius yasitisha safari za ndege wakati Kimbunga Freddy kikisogea

    Mauritius pia imefunga soko lake la hisa wakati upande wa pili Madagascar imeandaa timu za dharura kwa ajili ya mvua kubwa, mafuriko na maporomoko ya ardhi. Kimbunga Freddy kina upepo mkali unapenda kwa kasi ya mpaka kilomita 120 kwa saa, ambapo angalizo limetolewa kutokwenda maeneo ya baharini...
  15. Roving Journalist

    TMA: Tunafuatilia kuhusu Kimbunga Freddy, hakuna madhara kwa sasa

    Baada ya uwepo wa taarifa kuhusu Kimbunga Freddy kuwa kina uelekeo wa kwenda Pwani ya Afrika Mashariki, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema imejiridhisha hakuna madhara ya moja kwa moja katika maeneo ya Tanzania. TMA imesema itatoa taarifa punde kutakapokuwa na haja ya kufanya hivyo...
Back
Top Bottom