kimbunga hidaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kilwa: Tanroads yaanza kazi urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja iliyoathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya

    Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na madaraja ambayo yameathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya. Wakizungumza wakati wa ziara ya...
  2. Bilioni 840 Kutumika Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na El-Nino

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali tayari imeelekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 840 (Dola za Marekani Milioni 325) katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja na makalvati yaliyoharibiwa na mvua kubwa za El-Nino na Kimbunga Hidaya ambapo maandalizi ya utekelezaji...
  3. Sheikh Kundecha: Kimbunga Hidaya kimetokana na wanadamu kufanya maasi, amsifia na kumuombea Bomboko!

    Sheikh machachari Kundecha Akizungumza na chombo kimoja cha habari amemsifia mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kutekeleza maagizo ya dini katika opeareshi yake ya kupambana na madanguro na madada poa. Sheikh Kundecha anasema Bomboko sio anatekeleza tu maagizo ya serikali bali maagizo ya Mungu hivyo...
  4. Mwigulu: Mvua na Kimbuga Hidaya zimeharibu kilometa 528 za barabara

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ametaja athari za Kimbunga Hidaya na Mvua za elnino kuwa ziliharibu barabara 68 nchini, ambapo ma-culvet 189 yaliharibiwa. Aidha ni jumla ya kilometa 528 zimeharibiwa kutokana na hali hiyo. Waziri amesema barabara hizo zimeanza kujenga na baadhi zimeanza kuwa...
  5. Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia baada ya kimbunga Hidaya

    MHE QS KIPANGA SHIDA ZENU SHIDA ZANGU KIMBUNGA HIDAYA MAFIA KILINDONI MAFIA Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia kata ya Kilindoni Kijiji Cha kilindoni Vitongoji kumi na moja kuwa shida zao shida zake juu ya majanga ya Kimbunga...
  6. Zoezi la urejeshaji wa Miundombinu Barabara Kuu Lindi-Dar eneo la Somanga laendelea

    Timu ya Wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanasimamia zoezi hilo ili mawasiliano katika Barabara Kuu ya Lindi - Dar es Salaama kurejea kwa haraka. Waziri wa Ujenzi, Bashungwa alieleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3)...
  7. Hidaya akata mawasiliano, daraja lasombwa Somanga

    Mawasiliano kati ya Dar na kusini mwa nchi yamekatika baada ya daraja lililopo Somanga kusombwa na maji. Ukiachana na daraja hilo, zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, kati ya Lindi na Dar es Salaam yamekatika. Hali hiyo imetokana na madhara ya kimbunga Hidaya kilichosababisha mvua kubwa...
  8. Madhara ya kimbunga hidaya....

    Haya ndio madhara ya kimbunga hidaya,kinadada wavaa mawigi wadhalilika vibaya sana!
  9. SoC04 Tanzania 2044: Miaka Ishirini ya Kujiimarisha

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu katika ustawi wa nchi. Katika makala hii nimeelezea mpango wa maendeleo tunaoweza kuutumia...
  10. Matukio, picha na video kuhusu Kimbunga Hidaya

    Kimbunga Hidaya kimeshafika kwenye pwani yetu. Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA walitoa tahadhari ujio wa kimbunga hiko kwenye pwani ya mashariki. Uzi huu ni maalumu wa kushare matukio, picha na video za maeneo yaliyopitiwa na kimbunga hiki cha HIDAYA. Lengo ni kupashana taarifa na kuzisaidia...
  11. DOKEZO Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
  12. Tahadhari zipi zinatakiwa kujikinga na kimbunga HIDAYA

    Mamlaka ya hali ya hewa imetutadhalisha juu ya janga la kimbunga hidaya kinachowasili hapa nchini hivi karibu Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue 1. Tusisogelee maeneo ya bahari? 2.Tusiwe kwenye misongamano ya watu? 3. Tusikae milimani? 4. Tuandae chakula cha kutosha? 5.mavazi yaweje...
  13. Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth ==== Pia soma...
  14. TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara

    UWEPO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA MTWARA Dar es Salaam, 02 Mei 2024: Kufuatia taarifa iliyotolewa jana tarehe 01 Mei, 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…