Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi leo Jumapili Mei 19, 2024 imesema kuwa TMA katika taarifa yake ya saa 12 jioni ya leo, imetabiri kimbunga hicho kilichopo umbali wa kilomita 680 kutoka pwani ya Tanzania, kuwa kitasababisha mvua kubwa na upepo mkali Jumanne...