kimbunga jobo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Upepo uliovuma Kunduchi mida ya saa 10 wengi walihisi ni kimbunga Jobo!

    Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote. Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo kimeibuka ghafla. Ramadhan kareem!
  2. Kasomi

    Ifahamu nguvu ya kisayansi 'inayoikinga' Pwani ya Afrika Mashariki na vimbunga

    Kwanini ni nadra vimbunga kutokea Afrika Mashariki? Mwishoni mwa wiki kulikuwa na tahadhari kubwa nchini Tanzania kutokana na uwezekano wa kupigwa na kimbunga Jobo. Hata hivyo, kimbunga hicho kilipungua nguvu na kutokuwa na athari kabisa nchini humo. Hiki kilikuwa ni kimbunga cha pili kwa...
  3. S

    Kimbunga JOBO kimepita, lakini je, serikali na wananchi tunajiandae kwa vimbunga vijavyo?

    Historia inatuonyesha mara ya mwisho kimbunga kilichowahi kuikumba nchi yetu kilitokea mwaka 1952(miaka 69 iliyopita).Hii maana yake vimbunga kama hivi bado vinaweza kuja kutukumba tena huko mbeleni. Vimbunga vinavyoendelea kutokea miaka hii ya karibuni kikiwemo hiki cha JOBO kilichotokea siku...
  4. J

    Je, hapo ulipo kuna dalili zozote za kimbunga Jobo!

    Nipo Pwani ya Kawe na hali ni tulivu kabisa wanajamii wakiendelea na mishe zao. Tupe taarifa hapo ulipo kama kuna dalili zozote za Jobo kuibuka. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  5. Behaviourist

    Hatimae kimbunga JOBO chaisha nguvu kabisa

    The good news ni kwamba kimbunga JOBO kimeisha nguvu kabisa.Picha ya kwanza ni ya jana Ijumaa saa nne asubuhi kama unavyoona kwenye picha za satellite hapo kimbunga kilikuwa na nguvu sana na picha ya pili ni ya leo Jumamosi saa tisa ya usiku na kama unavyoona kimbunga kilipungua nguvu kidogo...
  6. Nyankurungu2020

    Taarifa huishwa kuhusu kimbunga Jobo

Back
Top Bottom