kimya

Kimya Dawson (born November 17, 1972) is an American folk singer-songwriter, best known as one half of the anti-folk duo The Moldy Peaches. Dawson's work with The Moldy Peaches earned her a cult following and critical acclaim, with their 2001 song "Anyone Else But You" landing a spot in multiple acclaimed indie film soundtracks. "Anyone Else But You" as performed by Michael Cera and Elliot Page charted on the Billboard Hot 100 after its prominent inclusion in the 2007 film Juno, the soundtrack of which includes several songs by Dawson and her associated musical acts. The song remains Dawson's highest charting single to date. In addition to her work with The Moldy Peaches, Dawson has released seven solo studio albums and collaborated with various other artists from a diverse range of genres, including Aesop Rock, They Might Be Giants, The Mountain Goats, and Third Eye Blind.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama Raia tafadhali naomba kujua hizo Sheria 12 za TISS zilizopitishwa Kimya Kimya na Bunge linaloendelea sasa

    Kuna moja hiyo nimeisikia na Kabambe sana ( japo nakataa Kuiamini nikijua TISS si Makatili na Wapuuzi ) hivyo nawatahadharisha wale Wenzangu na Mie Wapenda Kugombea Mbunye za Baa kuwa ukigundua tu unayegombea nae Mbunye ni wa Kitengo ( TISS ) mwachie tu hiyo Mbunye na tafuta nyingine kwani...
  2. B

    Wabunge 30 wa Tanzania kwenda Dubai safari ya kimya kimya si kawaida

    Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Kasheku Musukuma akiongea bungeni amesema walikwenda Dubai kuona mafanikio ya bandari za huko. ZIARA YA KAMATI YA MH. PROF. MBARAWA YA WABUNGE 30 DUBAI Jambo la kushangaza ni kuwa kamati ya Bunge wakitembelea miradi ndani ya Tanzania huwa...
  3. UVCCM tusikae kimya

    Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
  4. Page ya TAMISEMI imedorora, taarifa za uhamisho hamtoi, watu wanahama kimyakimya na hatma yetu hatuielewi

    Nategemea kuhama na nimekamilisha taratibu zote. Nasubiri majina kwenye ubao wa tovuti ya TAMISEMI lakini sioni kitu. Cha ajabu hapa kazini kwangu, watumishi wapya tunawapokea wakiwa na Uhamisho kutoka nje ya MKOA. Nataka kujua anayepokea hizi rushwa TAMISEMI na Mimi nimpelekee anihamishe.
  5. TMA mbona mpo kimya kwa hizi mvua za June?

    Wananzengo mmeamkaje leo? Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani. Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa. Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)...
  6. Patriot zitapigwa sana ifuatiwe na kimya kama cha Himars

    Wachambuzi wa kivita wa Marekani wamekiri kuwa mfumo wa Patriot pamoja na sifa zake kadhaa lakini si mfumo salama mbele ya jeshi la Urusi. Mtambo huo wa Patriot kimsingi umeundika na vitu sita katika ufanyaji kazi wake ambavyo ni generators, radar set, control station, antennas, launcher...
  7. Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

    Habari ndugu Wadau.. Baada ya siasa na saga nyingi ,hatimaye Serikali ya awamu ya 6 imesema itaanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mwaka huu wa Fedha wa 2023/24 ambapo ujenzi wake utasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA.. Ile ndoto Sasa inaenda kuwa kweli ambapo Tanzania itapata Bandari...
  8. Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

    MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII" Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari? Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa. Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana...
  9. UDSM, Mzumbe wana Business School lakini katika Sakata la Kariakoo wako kimya. Hapa ndio Kishimba huwa anachukua alama

    Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua...
  10. NADHARIA Ugonjwa wa UVIKO-19 unadaiwa kurejea kwa kasi nchini

    Salaam Ndugu zangu, Zipo tetesi zimesambaa katika maeneno mbalimbali kwamba ugonjwa wa Covid-19 umerejea nchi. Kwa sisi tunaoishi Dar tunashuhudia kulipuka kwa mafua makali yakiambatana na kikohozi fulani na homa. Je kuna ukweli kiasi gani kwenye hili? Jamiiforums tunaomba mtusaidie kuuliza...
  11. Tetesi: Kuna Homa za Kubana Kifua, Kichwa na Mafua mtaani zinapiga Watu kimya kimya

    Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu. Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla...
  12. Ewe mwanamke, ukigundua mme wako kapata mtoto huko nje na huna mpango wa kuondoka kaa kimya usimuulize, Ukweli utamuweka huru mwanaume sio wewe

    Hasa kwa wale vinganganizi kutwa nzima kufatilia kama mwanaume ana mtoto nje, ukiupata ukweli ujipange kisaikolojia!! ni heri ukae kimya umwache mme wako kama alivyo wewe kaa kimya tu maisha yaendelee (1) Mwanzo alikua anawasiliana na huyo Mama wa mtoto kimya kimya,hakutaka ujue, alikua...
  13. Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
  14. D

    Dk. Bashiru Ally usikae kimya, muokoe Cyprian Musiba

    Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika. Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia...
  15. Nitumie njia gani, ili nipate Mwaliko wa Eid Mubarak? Naona kimya Sana !

    Sijapokea mwaliko hata mmoja kwa siku yetu ya Eid Mubarak
  16. Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
  17. Hata hapa jangwani chura wapo kimya

    Yaani na katiza hapa jangwani maji kibao,mvua inanyesha ila hakuna kelele ya chura,imebidi nishushe kioo na kuchungulia,naona hata lile jengo taa haziwaki :D :D :D :p :p
  18. Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  19. M

    Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  20. Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…