Chadema kama taasisi inaendesha shughuli zake ofisini kwa mipangilio yake bila kusukumwa, kuchagizwa, kushinikizwa wala kushawishiwa na yeyeto.
Tulipo sasa mwenyekiti mheshimiwa Mbowe (mola amjalie salama) yuko nyuma ya nondo chini ya watesi wake ambao wangependa kuona Chadema ikisambaratika...