kimya

Kimya Dawson (born November 17, 1972) is an American folk singer-songwriter, best known as one half of the anti-folk duo The Moldy Peaches. Dawson's work with The Moldy Peaches earned her a cult following and critical acclaim, with their 2001 song "Anyone Else But You" landing a spot in multiple acclaimed indie film soundtracks. "Anyone Else But You" as performed by Michael Cera and Elliot Page charted on the Billboard Hot 100 after its prominent inclusion in the 2007 film Juno, the soundtrack of which includes several songs by Dawson and her associated musical acts. The song remains Dawson's highest charting single to date. In addition to her work with The Moldy Peaches, Dawson has released seven solo studio albums and collaborated with various other artists from a diverse range of genres, including Aesop Rock, They Might Be Giants, The Mountain Goats, and Third Eye Blind.

View More On Wikipedia.org
  1. Ningekaa kimya ningekufa nalo: Fabrice luamba ngoma midfilder teacher (airport) mchezaji bora wa super league

    Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst. Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika...
  2. Vyombo vya habari vikitangaza majanga watu wa Mungu hawapaswi kukaa kimya?

    Wakati serikali na vyombo vyake wanapotangaza kwa utashi wao juu ya majanga yanayoweza kulipata taifa tahadhari za kibinadamu kuchukuliwa. Watu wa rohoni hatupaswi kukaa kimya kusubiri yatokee kama yalivyotabiriwa. Inatakiwa watu wa Mungu waitishe maombi ya kubatilisha na kufuta kila...
  3. M

    Tunduli Lissu kurejea wakati wowote kuanzia kesho Oktoba 6, 2023

    Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake. Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea...
  4. Marekani yaionya Iran kuhusu kinachoendelea Israel, inabidi Iran iendelee kukaa kimya

    Iran inapaswa iendelee kufyata mdomo na isiongee chochote huku mabomu yakishuka Palestina kama mvua. Kuna ripoti zimejitokeza kwamba hata Iran wameshtukizwa kwenye hili shambulio, inaonekana HAMAS hawakushirikisha mabwana zao wao wa kidini na ugaidi. =========== WASHINGTON — President Joe...
  5. Z

    Matokeo Law School Cohort ya 35 yametoka: Sijui matokeo ya jumla yakoje, maana hutoka kimya kimya kila mtu anachungulia akaunti yake tu!!

    Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!! Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa...
  6. Mzunguko wa pili wa NBC Premier League walipokaa kileleni walitamba mno mbona sasa mzunguko wa nne wako kimya?

    Tafadhali naomba mwenye Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu yetu ya NBC aniwekee hapa tafadhali ili tujikumbushe na tusisahau au tusijisahaulishe kwa Makusudi.
  7. Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Salaam, Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini. Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...
  8. Kwanini shutuma zote za wizi na Ubadhirifu awamu ya sita hazijibiwi?

    Wakuu Salam, Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu. Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo. Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili...
  9. M

    TANESCO inakata umeme kutwa viongozi wamekaa kimya. Nchi hii sasa ipo tu hamna dereva

    TANESCO sasa hivi wanakata umeme bila ya kutoa taarifa. Halafu hakuna kiongozi anayefuatilia wala kuzungumzia ili suala. Ingekuwa Magufuli angeenda kushuhudia mwenyewe iko kina cha maji kama kweli kiko chini. Sasa hivi hata Waziri haendi sijui kazi yake ni nini yeye anapewa taarifa kama sie na...
  10. Zitto mpigania haki ndie huyu anayefurahia kuuzwa bandari za Tanganyika,kukaa kimya juu ya Katiba Mpya na wanayofanyiwa Wamasai Ngorongoro!?

    Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.leo hii amekuwa kimya katika...
  11. Dkt. Siko tayari kuhongwa nikae kimya ili nisipokonywe hiyo title, mapambano ya Bandari yako palepale

    Muda mfupi baada ya kuvuliwa hadhi ya Ubalozi, Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Willbroad Slaa amesema "Niliwakilisha nchi yangu kimataifa, wanaojua ubora wa ubalozi wangu ni nchi ambazo nilizihudumia. Ubalozi ni historical, hautafutika. Nilishawapa ruhusa niko tayari wachukue ubalozi kwa sababu siko...
  12. Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
  13. Kwa nini Maaskofu waliyakalia kimya mambo haya?

    Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya. Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya. Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa. Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya...
  14. Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

    Mwambieni jamaa yenu aache matusi ya rejareja tena ya kudhalilisha wanawake.
  15. K

    Huenda sababu ya Rais Samia kukaa kimya ni hii hapa!

    Tofauti na watu wengine Raisi Samia akiongea lolote kuhusu mkataba wa DP world litamfikia mkuu wa wa Dubai. Sasa tatizo ni nini? 1. Kwanza akisema mazuri tu itakuwa vigumu kwenda kwao tena na kurekebisha mkataba 2. Akisema mabaya ya mkataba wazi wazi watajitoa kwenye mkataba mzima kitu ambacho...
  16. B

    Putin kukacha kwenda Sauzi kulikoni kimya hiki kutokea Buza?

    Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS. Kwamba hatishiki wala kukuruka. Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao. Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin...
  17. Heri Mama ameamua kukaa kimya, makubwa lazima yatakuja!

    Hili suala la Bandari na DP World halikosi ukoko. Mama amesema wazi wazi kwamba atatumia hekima kukaa kimya, jambo ambalo ni heri maana mambo kutatua figisu (kama alivyosema mama Mongella) hayataki papara! Lakini vichwa havikawii kufikiria mambo magumu. Inadaiwa ndege yetu imekamatwa huo...
  18. R

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  19. R

    Baada ya kimya kirefu nimeamua kumsupport Rais wangu na hizi ndizo nondo nne za kuanza nazo

    Habari jf , binafsi kama Sukuma Gang na mfuasi wa falsafa za hayati Magufuli kwa akili yangu nimeamua kumuamini Rais wangu mama Samia . Hii ni baada ya kufanya tathmini na kugundua Rais Samia ana mipango na malengo mazuri na hii nchi . Hivyo kwa kuanza namshauri haya mambo manne :- 1.Afute...
  20. R

    Wabunge na Mawaziri wasomewa tamko la TEC; hakuna aliyeweza kuzuia wala kuhoji uhalali wake. Waungana na waumini kukaa kimya

    Wabunge na mawaziri pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wamefika katika makanisa mbalimbali NCHINI leo kushuhudia usomwaji kwa waumini maazimio na tamko ya TEC. Katika hatua hiyo hakuna kiongozi yeyote aliyeripotiwa kupinga badala yake wote wamepiga makofi na kuwaombea maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…