kinana

  1. Li ngunda ngali

    Kinana mwenye miaka 76 kastaafu na Wassira mwenye miaka 80 kachukua nafasi

    Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni! Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
  2. Zanzibar-ASP

    Siamini kabisa kama Ndugai, Chongolo, Kinana na Mpango waliomba wenyewe kujiuzulu. Lazima kuna jambo!

    Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo. Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo chini ya kiapo cha mwenye mamlaka kuu ya nchi. Kisa cha kujiuzuru kwa Jumbe wakati akiwa rais wa...
  3. Pascal Mayalla

    Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

    Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
  4. Zanzibar-ASP

    Tetesi: Msigwa ajiandaa kuondoka CCM ikiwa safari hii mkeka wa mama hautamkumbuka?

    Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema. Tayari kuna tetesi zinasema Msigwa ameweka masharti ya kuendelea kubakia CCM kwa kupewa nafasi ya...
  5. milele amina

    Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Ninaomba,msaada wenu! Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977. Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana! Fomu zinapatikana wapi!
  6. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Mwishooni kabisa mwa hizi sarakasi za Siasa CCM ya Mzee Kikwete, Kinana, Makamba, Nape itaibuka kidedea na washindi

    Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo. Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana. Makosa yaleyale yanajirudia 2022-2025, safari hii yanajirudia kukiwa na mambo yanayopigiwa kelele...
  7. S

    Mara paap! Kinana kawa makamu mwenyekiti wa chadema. Inhiiiiiiii!

    Sijui maccm wataficha wapi nyuso zao? Makonda na Samia kama nawaona vile wanavuonuna.
  8. Father of All

    Pre GE2025 Kinana na Makamba wameishia wapi na watakuwa upande gani kwenye uchakachuaji wa mwakani?

    Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
  9. L

    Kinana na Jakaya Kikwete ana kwa ana msibani kwa Jenerali David Musuguri

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa...
  10. T

    Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

    Hivi ni kawaida kwamba miezi mitatu sasa imepita tangu ajiuzulu lakini hawajaweka mrithi wake shida Iko wapi?!?
  11. R

    Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

    Salaam, Shalom!! Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk. Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa, Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
  12. B

    Tetesi: Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuziba nafasi ya Kinana

    Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee. Baada ya kauli hiyo siku chache mbele...
  13. L

    Pre GE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

    Mizengo Pinda Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa nimechekecha kwa haraka haraka sana mtu...
  14. Li ngunda ngali

    Nape, Makamba, Kinana, Wamasai, Chadema na hasira za kutemwa=FURAHA YA WAPIGAJI?

    Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia. Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu! Kasi yake ya kujiongezea maadui inatishia mno salama yake ki siasa. Nahofia hao hapo juu wakiungana kwa minajili ya kumdhoofisha ama...
  15. Valencia_UPV

    Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

    I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara). II. Hii ni kutokana na CV ya Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzingatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na...
  16. R

    Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

    Mimi nabashiri Msigwa:p:p:p:p PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
  17. benzemah

    Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Abdulrahman Kinana Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika. Katika majibu yake Mwenyekiti...
  18. B

    CCM inamhitaji Kinana kuliko Kinana anavyoihitaji CCM

    Kwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape. Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi 1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ 2. Naibu Waziri wa Ulinzi 3. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Kwenye chama amewahi kuwa 1. Memba Halmashauri kuu NEC 2...
  19. chiembe

    Katika siasa za Tanzania, Kinana hana deni, kamaliza yote kwa ufanisi mkubwa

    Nadhani katika wanasiasa wenye maksi zote katika siasa za Tanzania, ni mzee Kinana, kamaliza yote, na bila shaka CCM itamuandalia sherehe kubwa za kumuaga akienda kupumzika na wajukuu. Ni nguli wa kisiasa ambaye sijui ni nani ataandika hotuba ya kusherekea maisha yake katika utumishi wa umma...
Back
Top Bottom