Muda mfupi sana tangu Mzee Kinana ajiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti bara, pametokea mambo mazito yenye kuchafua 'sura' ya nchi. Hapa nazungumzia utekaji, utesaji na mauaji.
Najiuliza huyu Mzee alinusa maandalizi ya matukio haya?
Maana hata kujiuzulu kwake Kulikuwa kwa ghafla na kwanamna...
Salaam, Shalom!!
Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.
Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,
Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
Ziko taarifa kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe anatajia kujiuzulu wadhifa wake wakati wowote kuanzia sasa kumfuata mjomba wake Kinana aliyejiuzulu jana.
Sababu zinazotajwa ni kutokana na kuandamwa na kashfa ya sukari ambayo imeshindikana kuzimika licha ya kutumia fedha nyingi kununua...
Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU.
UTARATIBU
Makamu Mwenyekiti CCM anapojiuzulu hutakiwa kukabidhi barua ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa chama Taifa. Kisha, Mwenyekiti anatakiwa Kikatiba (CCM) kuipeleka kwenye Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
13 July 2024
DK 7 za KINANA AJILIPUA MBELE YA RAIS SAMIA , "tunalalamikiwa tuache rushwa"
https://m.youtube.com/watch?v=R1uNCHfBZGg
Akiongea mbele ya vigogo wa CCM walio viongozi serikalini akiwemo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Makamu Mwenyekiti wa CCM bara komredi Abdulrahman...
Niimefurahi kujiuzulu Kinana nafasi yake ndani ya chama ili kutunza heshima yake. Kwa nini nimefurahi kwa sababu ni mtu namfahamu tangu tuko vijana shule. Ni mtu mwema na rafiki kwa kila mtu na nisingependa kuona heshima yako ikipotea.
Lazima tukubali ndani ya ccm tuko wanachama wa milango...
Hili ndio jambo nalotamani kuliona kwa sasa ili tuweze ku-balance story na pengine kujua ukweli halisi wa mambo.
Hata hivyo, sitashangaa wakati wote kuanzia sasa barua hiyo ikaanza kusambaa mitandaoni unless barua ya CCM kuhusu Kinana kujiuzulu inasema ukweli.
Binafsi, barua hii ya CCM naiona...
Mzee Kinana
Salaam, shalom!!
Ndani ya chama Cha MAPINDUZI CCM, umewafundisha siasa vijana wengi sana, inawezekana wamefaulu machache kati ya mengi uliyowafundisha,
Somo linalohusu uwajibikaji wa pamoja umelifundisha sana tena Kwa vitendo, imekuwa mjenga HOJA mzuri, umejiuzulu mara kadhaa pale...
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti...
Kitendo cha Kinana kupuuzwa maneno yake ya kufanya kazi kwa kuwawajabisha hadharani watumishi wa umma ni dhahiri Sasa siasa za Kinana hazina mvuto tena aachie damu changa.
Ajiuzulu ndani ya CCM kumruhusu mwenyekiti ateue Makamu Mwenyekiti anayetaka kuendana naye na mwelekeo mpya kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.