Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo.
Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo chini ya kiapo cha mwenye mamlaka kuu ya nchi.
Kisa cha kujiuzuru kwa Jumbe wakati akiwa rais wa...
Wanabodi,
Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!.
Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema.
Tayari kuna tetesi zinasema Msigwa ameweka masharti ya kuendelea kubakia CCM kwa kupewa nafasi ya...
Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo.
Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana.
Makosa yaleyale yanajirudia 2022-2025, safari hii yanajirudia kukiwa na mambo yanayopigiwa kelele...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa...
Salaam, Shalom!!
Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.
Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,
Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee.
Baada ya kauli hiyo siku chache mbele...
Mizengo Pinda
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa nimechekecha kwa haraka haraka sana mtu...
Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia.
Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu!
Kasi yake ya kujiongezea maadui inatishia mno salama yake ki siasa.
Nahofia hao hapo juu wakiungana kwa minajili ya kumdhoofisha ama...
I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara).
II. Hii ni kutokana na CV ya Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzingatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na...
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti...
Kwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape.
Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi
1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ
2. Naibu Waziri wa Ulinzi
3. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Kwenye chama amewahi kuwa
1. Memba Halmashauri kuu NEC
2...
Nadhani katika wanasiasa wenye maksi zote katika siasa za Tanzania, ni mzee Kinana, kamaliza yote, na bila shaka CCM itamuandalia sherehe kubwa za kumuaga akienda kupumzika na wajukuu.
Ni nguli wa kisiasa ambaye sijui ni nani ataandika hotuba ya kusherekea maisha yake katika utumishi wa umma...