Wakuu
Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae
Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl na uefa hivyo kitakuwa pambo tu
Anayejua Kingamuzi gani naweza kununua nikaona zile Movie za zamani za MGM zenye Nembo ya Simba anijuze. Maana Nazielewa Sana. Najua humu kuna wataalamu hawashindwi kitu.