Waislam: Salamlykum ~Wakirsito:Bwana Yesu asifiwe
Wanajukwaa Ninachemsha bongo hapa nataka tujadiri kwa pamoja mpaka tupate jibu
swali:(nineno gani la kiingeleza lenye herufi 26 lakini lina silabi tatu tu)naimani tutapata jibu sahihi tu kuna wataalam wengi sana humu
MWENYEZI MUNGU AMUBARIKI...