Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana.
Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi...
Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kutema Yani, kutema ung'eng'e, lugha ambayo ilikuja Tanzania Kwa Njia ya Meli...
Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu.
Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani kutafsiri kingereza cha Inda ili aweze kuelewa.
Kuna wakati niliwahi kufanya kazi na wahindi kutoka India...
Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu?
Nia ninayo.
Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba.
Pia wanasiasa wasiojua Kingereza ni vyema wakatumia Kiswahili tu, hakuna aibu kutumia lugha yako unayoimudu vizuri, hakuna haja ya...
Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea.
Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo
1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa.
2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza
3. Napenda kutazama movie za kingereza...
Habari,
Tunatoa huduma bora na za kitaalamu za kutafsiri maandishi kutoka Kingereza kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kingereza kwa usahihi na umakini wa hali ya juu. Huduma zetu huhusisha sifa zifuatazo:
✅ Tafsiri inayobeba maana halisi bila kupotosha.
✅ Matumizi ya Kingereza/Kiswahili...
Inawezekana idadi ya Waganda wanaojua Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaojua Kimalkia, lakini si kila Mganda anajua Kizungu. Nililijua hili kwa mara ya kwanza mwaka Jana baada ya kufika Kampala kwa muda mfupi, lakini safari hii nimepata uzoefu mpana zaidi.
Japo kuna boda boda na...
Ukiangalia vita kati ya waisraeli na wapelestina utagundua moja ya silaha wanazotumia ni historia. Hapa kila pande inajitahidi kuonyesha kuwa kihistoria wao ndio wanastahili kumiliki ardhi wanayopigania. Hii inafanya historia kuwa ni moja ya silaha muhimu sana nchi inatakiwa kuwa nayo.
Mimi ni...
Mechi ya KenGold inaisha
Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu
""You create the chance.......
Badala ya ''you created some chances.....
Kweli lugha ngumu
Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama ilivyosikilizwa Mahakamani...au lugha ya maandishi ya mahakama ni kingereza hata kama asilimia 99 ya...
Jamhuri ya Muungano....
Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza.
Ndugu zetu walimu ni vizuri Siku Mbili zilizobakia kama unajijua unaongea broken English, bora ujipige Msasa kuficha...
Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza,
Dola ya Kirumi
Dola ya Kimarekani
Vyombo vya dola
Kushika dola
Kingereza cha "dola" ni nini?
Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:
1. Nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa ilikuwa ni Kiarabu kwenye madrasa, nilipoanza shule (school) lugha ya kwanza ya kusomeshewa ikawa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.