Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:
1. Nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa ilikuwa ni Kiarabu kwenye madrasa, nilipoanza shule (school) lugha ya kwanza ya kusomeshewa ikawa ni...