kingono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipindi Cha "WATUBAKI" Cha Dstv Kijirekebishe Waache kutumia Lugha zenye Maudhui ya Kingono na Matusi

    Habari Wakuu, Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri...
  2. Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  3. Nimepata Shambulio la Kigaidi la Kingono

    Mwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu. Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa halafu anavaa miwani, watatu anapenda madera. Kwakweli wamenitoa kabisa kwenye reli, faida...
  4. Wanaume wasiishi bila mweza, inapunguza unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile. Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri. Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona...
  5. Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

    Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30. Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
  6. Dar: Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma za kunyanyasa Wanafunzi Kingono

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam imemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za kuwanyanyasa wanafunzi kingono. Hatua hiyo imekuja siku nne tangu Mwananchi imeripoti tuhuma hizo zinazodaiwa kufanywa...
  7. Kwanini Wanawake wanawapenda sana Wanaume 'Masela' kuliko wale 'Wakishua' Kingono?

    Nasikia Masela Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ile ya Bundesliga ( Ka:zi Kazi tupu ) na Wanaume wale Wakishua ( Mabrazameni ) Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ya Primera la Ligi ( ya Kitaratibu na Kiuhuruma ) mno. Haya Wabanduaji na Wabanduliwaji kuna Ukweli hapa? GENTAMYCINE sichezi...
  8. Skendo za Unyanyasaji wa kingono kwa Watoto, waumini 520,000 wajitenga na kanisa Katoliki Ujerumani kwa mwaka

    Kutokana na skendo za Unyanyasaji wa kingono kwa Watoto, zaidi ya waumini 520,000 walitangaza kuachana na kanisa katoliki kwa mwaka 2022, hili ni ongezeko la 44% ukilinganisha na waliojitenga na kanisa mwaka 2021 ambao walikua 360,000. Kwa ujumla kwa mwaka 2022 waaumini zaidi ya 900,000 kutoka...
  9. Mwanafunzi aliyepotea kwa siku 35 adai aliondoka Shuleni baada ya kubakwa na Mwalimu

    Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.
  10. DOKEZO Mtoto Huyu ananyanyasika kingono

    Ni Binti wa umri wa miaka 11 ambae yupo darasa la tano. Binti huyu pamoja na umri wake mdogo lakini ameeathirika sana kisaikolojia kutokana na kutumika kingono kutoka kwa vijana wenye umri mkubwa. Binti huyu mamake aliachana na Baba yake na kwenda kuolewa sehemu nyingine na kumuacha binti...
  11. Uganda: Wanafunzi wanne wasimamishwa masomo kwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao

    Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15. Taarifa zinaeleza kuwa kikundi hicho kilifanya tukio hilo kwa kumfungia mwenzao huyo ndani ya chumba, wakamyanyasa...
  12. Trump awajibishwa kwa kashfa ya unyanyasaji wa kingono, Kumlipa E. Jean Carroll $ 5 milioni

    federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store dressing room in the mid-1990s. She was awarded $5 million total in damages. The jury, made up of...
  13. Hizi ndizo Ibada 3 za Kingono zinazofanywa Kimila barani Afrika

    Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au waafrika bali lengo ni kujifunza tu maana kujifunza hakuna mwisho ..haya twende kazi... 1. IBADA YA...
  14. Je, Unajua kuwa kutikisa makalio kwa lengo la kumtega mtu ni unyanyasaji wa kingono? Jifunze hapa juu ya unyanyasaji wa kingono

    UNYANYASAJI WA KINGONO NA RUSHWA YA NGONO Kumekuwa na tabia isiyopendeza katika jamii hususani mahali pa kazi ambapo baadhi ya waajiri au mameneja wa waajiri wamekuwa na tabia ya kuwanyanyasa kingono na kuwaomba rushwa ya ngono wafanyakazi walio chini yao au watu wasio wafanyakazi wanaoomba...
  15. Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  16. Rais wa Soka Ufaransa ajiuzulu baada ya ripoti mbaya ya ofisi yake na tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014. Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
  17. Kesi ya unyanyasaji wa kingono ya Mason Greenwood yafutwa

    Mason Greenwood ameondolewa mashtaka yote yaliyokuwa yanamkabiri ikiwemo unyanyasaji wa kingono dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake. Taarifa kutoka Polisi wa Greater Manchester ni kuwa hawatotoa maelezo mengi zaidi licha ya kuwa kesi hiyo ilikuwa na mvuto kwa Media lakini kujiondoa kwa Mashahidi...
  18. R. Kelly afutiwa mashtaka 10 ya Unyanyasaji wa Kingono yaliyopaswa kusikilizwa leo

    Mwimbaji Nyota wa R&B kutoka kutoka Chicago, ameondolewa mashtaka ya Jinai kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia yaliyotakiwa kusikilizwa Mahakamani leo January 31, 2023. Umuzi huo umetokana na kifungo cha miaka 30 ambacho Kelly anatumikia baada ya kupatikana na hatia katika kesi nyingine za Ulanguzi...
  19. Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

    Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
  20. TUMECHOKA: Sheria mpya zitungwe kuwabana Lecturers vyuoni wanaowalaghai kingono watoto wetu wa kike, mama zetu, wake zetu na wachumba wetu

    Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…