Dhamira ya mapenzi imekuwa ni chumvi kwenye maisha ya kila siku lazima iwepo ili kuwe na radha ya maisha ila isizidi maana inakera na isipungue maana inabaoa.
Hivyo leo nimeona nije na uzi huu nadhan mwanamke anapenda mwanaume anavyoonesha kumtamani kingono na kama upo kwenye mahusiano...