Mnamkuza sana jamaa kuliko uwezo.
Shabiki wa Kiba hawajielewi.
Kiba anategemea kiki ila anajifanya kama hategemei hivi. Kumbuka kipindi anataka kutangaza kuhusu ile tour yake kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa anatoa tamko rasmi kama sio kutumia ile attention iliyotengenezwa na Diamond...