Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu...
WAZIRI NDEJEMBI AMEMUELEKEZA KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI KUWACHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU WATUMISHI 7 WA WIZARA YA ARDHI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwachukulia hatua za...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua...
Kama mwalimu ambae ninakutana na watoto wengi kutoka katika 'background' tofauti tofauti, naomba niseme watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hususani mama (single mother) ni jipu kubwa ambalo linahitaji kutumbuliwa mapema Sana.
Watoto wanaolelewa na mama pekee bila uwepo wa mzazi wa kiume...
Mwambieni GENTAMYCINE namshauri ili atulie Yanga SC na asiendelee kuwa na Matatizo ya Kinidhamu ndani ya Timu na kwa Viongozi aachane na huyo Mganga wa Kienyeji anayemsaidia ili Kumshusha Kipa Djigui Diarra na aaminiwe Yeye kwani Ndumba zake zote zinadunda kwa Raia wa Mali Kipa Diarra ambaye...
Baadhi ya walimu waliositahili kupanda madaraja ya kiutumishi 2023 hawajapandishwa vyeo vyao kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu ni walioko masomoni, walio likizo bila malipo na walio mashtaka katika kamati za kinidhamu katika wilaya mbalimbali kwa makosa mabalimbali.
Kutompandisha mwalimu...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia mwezi uliopita.
Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alionyesha...
Mteja...
Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco mbona Kwetu sasa Maji hayatoki Wiki Mbili?
Mfanyakazi Dawsco....
Kwa Matajiri na Wakubwa Masaki sasa wana Mwezi wa Pili umesikia au kuona Wanalamika?
Mteja.....
Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco imekuwaje leo Kawe Maji mmeyafungulia Saa 1 Asubuhi na kuyakata...
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake, kunaiweka nchi katika matatizo si ya...
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi ametakiwa kuhakikisha anachukua hatua ya kinidhamu mara moja kwa Makamishina wasaidizi wa ardhi Mikoa ambao wanafanya kazi kwa mazoea na wameshindwa kukidhi matarajio ya Wizara.
Maagizo hayo yametolewa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
1. Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston MINOCYCLINE Mayele amemuadabisha baada ya Kuifunga Simba SC goli zake Mbili na akipitia Kwake Beki Inonga?
2. Wana Simba SC tuliomchana live hasa katika Ukurasa wake wa Instagram na Twitter kutokana na Kucheza Kwake na Jukwaa, kupenda Sifa na Kujiamini...
Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma.
Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa.
Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
Kumekuwa na tuhuma nyingi zikielekezwa Jeshi la Polisi kuhusu kubambikiza kesi, kunyanyasa raia ambao ndio wanapaswa kuwalinda, utesaji wa watuhumiwa hadi wengine kuuwawa, kama ilivyotokea kwa mdogo wa mh. Heche, aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA. Huyu alikamatwa na polisi, na akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.