Kinje kama kinje kaongea
Akiongea na Radio moja pale SA
Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda
Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote.
"Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza...
Wakuu samahani kwa muda mrefu nimekua nimesikia jina la huyu bilionea anayeitwa kinje mtoto wa mwanasiasa aliyestaafu CCM mzee Kingunge Ngombare Mwiru.
Nasikia ni tajiri kupindukia na biashara zake hazijulikani hasa ni zipi ntashukuru endapo nitapata wasifu wake..
Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange' na shosti wake, Mellisa Edward kabla ya kupandishwa kizimbani kwa msala wa dawa za kulevya ‘unga' Afrika Kusini waliingizwa kwenye chumba cha mateso kwa saa 24 ili kutaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.