DUA YA MUHAMMAD ALI KINSHASA 1974
Kwenye kitabu cha maisha yake, "The Greatest My Own Story," Ali anaeleza vipi mzee mmoja kutoka Cuba mchuaji wake misuli alivyokuwa anamnanga kuhusu yeye kujiita, "The Greatest."
Akimwambia kama kweli wewe ni Greatest mpige Foreman siyo ajisifu kwa kumpiga...