kinyaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni

    Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni rangi yake sasa kijanijeshi, kaniki, jano😎
  2. Wanawake punguzeni kinyaa linapokuja swala la kufanya Mapenzi

    Bila shaka mko poa Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi. Nimewahi kua na mrembo mmoja ivi anataka afanyiwe kila kitu(umkiss mwili mzima na upige shoo ya maana, (na...
  3. Mnaoruka na wake za watu / waume za watu huwa hamuoni kinyaa?

    Unajua kabisa kuwa yelu ni mke/ mume na fulani na wewe unakwenda kuingiza au kuingizwa humo humo, midomo aliyeinyonya yule na wewe unakwenda kuinyonya hiyo hiyo .assshh kinyaaa, ni sawa na kula mnyama ambaye amekufa kibudu. Bora uwe hauji mahusiano aliyonayo yaani unajua kabisa usiku kucha...
  4. S

    Asilimia kubwa ya Watanzania wanajua usafi wa mwili na mazingira yao ila wengi ni wachafu na wasio na kinyaa kabisa!

    Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa. Watanzania wengi usafi wanaojua ni ule wa kuoga, kufua, kudeki na kufagia mazingira yanayozunguka nyumba...
  5. Tanzania upinzani unatia hasira

    Tanzania ni nchi safi sana kufanya clean politics. Wananchi wake ni wepesi kukufollow na ni wepesi kukuona mchumia turbo, mlafi na mazabizabina. Mpenda kula, mpenda biashara badala ya kutembea katika mstari wa utumishi. Ukiwa upinzani inabidi zaidi uwe mtumishi wa umma. Siasa kidooogo...
  6. M

    Kauli ya RC Chalamila ''Mtu akifia Polisi wanasema polisi kaua, lakini ikiwa ni hospitali ni mipango ya Mungu'' siyo ya kiungwana

    Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya...
  7. Mambo ya kukera/kutia kinyaa ambayo hufanywa na baadhi ya watu

    Wananzengo naomba tujadili mambo ambayo mimi binafsi nayachukia yanayofanywa na baadhi ya binadamu. Mambo haya naonaga kama yanatia kinyaa na yanapunnguza heshima kwa anayeyafanya hasa anapokuwa kwenye kadamnasi. 1. Kuingiza kidole puani na kukomba yale mauchafu ya kamasi kuyatoa nje. Hapo mtu...
  8. Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe...
  9. Ushauri: Anapata kinyaa kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha

    Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu. Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha. Binti anahitaji mapenzi ila kijana...
  10. Watoto wafundishwe dhana ya kinyaa

    Kinyaa ni hisia mbaya apatayo mtu anapoona uchafu, mtu asie na kinyaa ni mtu wa hovyo sana. Kuona kinyaa yaweza enda mbali zaidi, Mtu anaeweza kufanya mchezo wowote katika tupu ya nyuma kwa lengo la kujifurahisha huyo hana kinyaa, Kuna vichaa ambao hadi wanaweka ulimuli, huu ni ugonjwa wa...
  11. Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja!

    Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa! Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu...
  12. Kiongozi ni sawa na nyama, ikioza inatia kinyaa kuliko mchicha

    Nyama na mchicha zote ni mboga, tofauti yao ni utamu na gharama! Nyama iko juu ya mchicha! Cha kushangaza vyote vikioza nyama inanuka na kutia kinyaa sana kuliko mchicha. Maana yake ni kwamba vitu vyenye thamani vikioza vinanuka kuliko vitu visivyokuwa na thamani, kosa la kiongozi linanuka...
  13. Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

    Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao. Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi. Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama...
  14. Wenye kinyaa huongoza kwa kuwa wachafu

    Umewahi kukutana na mtu ambaye ana kinyaa kilichopitiliza? Hali yake ya maisha vipi? Ukweli ni kuwa, sisi binadamu ni wachafu kiasili. Na hii ni kutokana na ukweli kuwa huwezi kuwa msafi kwa asilimia zote. Maisha yetu ya kila wakati yanajumuisha uchafu. Mazingira na miili yetu huzalisha taka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…