Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi.
Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi Sihaba.
Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika...