kinyonga

George Peter Kinyonga (? – December 24, 1992) was an influential musician in Kenya.
Born in Tanzania, Peter Kinyonga and his elder brother Wilson Kinyonga founded the rumba band Simba Wanyika which would later spawn Les Wanyika, Super Wanyika Stars and other offshoots.
George and Wilson Kinyonga began as musicians in their home town Tanga in Tanzania when they joined Jamhuri Jazz Band in 1966. They moved to Arusha in 1970 and formed Arusha Jazz Band with their other brother, William Kinyonga. In 1970 they moved to Kenya and formed Simba Wanyika, which would become one of the most influential bands in the history of East African music.

View More On Wikipedia.org
  1. MakinikiA

    Tanzania na mwendo wa kinyonga kwenye miradi

    Kwa kusema ule ukweli Tanzania ina mipango mibovu na inakwenda kama mwendo Wa kinyonga Tulizoea kuona kila wiki kupata taarifa za bwawa la umeme Rufiji lakini Siku hizi hatupati. Wanatusaulisha kusudi ili baadae walitelekeze. Kuna kodi za mtanzania zimeteketea pale cha ajabu majitu yapo...
  2. T

    SI KWELI Kinyonga wakati wa uzazi wake hupasuka tumbo na kufariki

    Hivi ni kweli kwamba kinyonga akiwa anazaa hupanda juu ya mti na kujirusha chini hali inayopelekea tumbo lake kupasuka na kufariki?
  3. M

    Dkt. Slaa na siasa za kubadilika kama kinyonga

    Wakati Mkapa - CCM Wakti wa JK - CHADEMA Wakati wa Magufuli - Mfuasi wa CCM wakati wa Samia - Mfuasi wa CHADEMA Anabadilika kama kinyonga anavyobadilika
  4. MINING GEOLOGY IT

    Tajiri wa Rangi: Kinyonga wa Madini Tanzania

    Tanzania ni nchi tajiri katika rasilimali asili, ikiwa na madini mengi ambayo yanaweza kuleta utajiri mkubwa kwa taifa na wananchi wake. Hata hivyo, hadithi ya utajiri wa madini nchini imekuwa na kivuli cha giza kinachofahamika kama "tajiri wa rangi," ambaye mara nyingi huwa kama kinyonga kwenye...
  5. Mtuache

    Kinyonga na Maajabu ya Rangi

    Habari wana jamvi, Hivi ulishawahi kujiuliza kinyonga anawezaje kujibadilisha rangi? Majibu ya Kwa Nini, Kitu gani na Kivipi Kinyonga anaweza kubadilika rangi haya hapa. Kama wewe ni mpenzi wa kusoma bila kuchoka shuka na mimi hapa taratibu. Kama kawaida yangu huwa ninaandika sayansi zile za...
Back
Top Bottom