kinyume na matarajio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    Expectations make you a beggar

    Hii huwatokea wanafunzi wengi wa vyuo kwa ndugu zao. Kama mtu unaweza hebu jitume mwenyewe tafuta njia yoyote ya kujitafuta ili upate pesa za kujikimu. Avoid it.
  2. Simbamteme

    Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji wangu lakini haikusaidia kitu. Sasa weekend iliyopita nilienda sehemu moja flani hivi amazing, chimbo...
Back
Top Bottom