kinyume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara Salehe Salim Alamri na wenzake yapigwa kalenda

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa leo katika mahakama ya wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa leo na hakimu wa mahakama hiyo,Jumaa Mwambago hadi Agosti 21 mwaka huu baada...
  2. Hii mekaaje? Neno ILLUMINATI ukiliandika kinyume (ITANIMULLI) na kuongezea .com utapelekwa kwenye website ya nsa.gov

    Waungwana nimejaribu kufanya hivyo nimejikuta natumbukia kwenye website ya nsa.go. Je hiyo kitaalamu imekaaje? Kuna uhusiano wowote baina ya hilo neno illuminati na hao jamaa wa national security ag?
  3. L

    Ni kweli kwamba China iko kinyume na mwelekeo?

    Juhudi za China ndani ya jamii ya kimataifa haziwezi kupingwa, lakini lengo la nchi za Magharibi kutaka kuongoza dunia linadai kuwa, China, kama nchi yenye ushawishi mkubwa isiyo ya magharibi, ni kitu cha kigeni. Ikiwa ni mfumo tofauti kabisa wa kisiasa, China, kuanzia karne ya 19, imekuwa...
  4. Maajabu ya RC Chalamila kushupalia ulevi kinyume na sheria

  5. Zimbabwe: Mke wa Mugabe aitwa Mahakamani kwa tuhuma za kumzika Mumewe kinyume na utaratibu wa Kimila

    Mahakama ya Kitamaduni nchini Zimbabwe yamtaka Mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Grace Mugabe kufika mahakamani hapo kwa tuhuma za kufanya mazishi “yasiyofaa” ya hayati Rais Robert Mugabe. Grace Mugabe anatuhumiwa kwa kuenda kinyume na utamaduni wa jamii yao kwa kumzika mume wake katika boma...
  6. N

    Nipo kinyume na kwenda kasi kwenye kurudisha mahusiano na Kenya

    Salaam JF, Hivi karibuni Mhe. Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kilichonishtua ni kuona namna haya mahusiano yanavyokwenda kwa kasi...
  7. Kwanini wanataka kuzuia Rais Samia Suluhu asiende kinyume na Hayati Magufuli?

    Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM. Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile...
  8. Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

    Habari zenu jamiiforums Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
  9. Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  10. Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

    Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja, ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka nifanye hivyo kwa wao kama wao tena waking'ang'ania kabisa na bado nilikataa, Nilikuwa najiuliza sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…