Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe.
Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki?
Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
Mimi huwa nashangaa watumishi kuchukulia maneno ya Musa (Zaburi ya 90:10) na kuacha neno la Mungu mwenyewe la (Mwanzo 6:3) "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini." (Yaani miaka 120)
Sasa watu...
BIla shaka wote mko vyema
Hebu dondosha menu yako ya kifungua kinywa ambayo unaikubali sana.
Kuanzia breakfast za kishua mpaka zile za watu kawaida
Me: Chapati mayai za kumimina>>> kifungua kinywa chochote
Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa.
Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa kwa muda huu harufu ya kinywa inaweza kua mbaya na nzito na ikawa kero kwa wengine?🐒
Mungu Ibariki...
Amini usiamini mambo haya yanatokea kwenye nchi yetu hivi hivi tukiwa tunaona!
Tuanze
1. Unaambiwa bodi ya Mishahara iliundwa mwaka 2017 na ikamaliza muda wake bila mishahara kubadilishwa! Na Sasa tunasikia itaundwa bodi nyingine maalumu kwa ajili ya kuangalia pensheni za Wastaafu!! Hapa source...
Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika
tishu hizo ( Tonsil)
Mabaki hayo hubadilika na kuwa magumu hadi kutengeneza uchafu kama vimawe vidogo (Tonsil calculi /...
Kufanya Uchunguzi wa Afya ya Kinywa: Umuhimu na Mara Ngapi Unapaswa Kufanya
Leo, tunapoadhimisha Siku ya Afya ya Kinywa Duniani, ni muhimu kutambua umuhimu wa kufanya uchunguzi wa afya ya kinywa mara kwa mara. Afya ya kinywa ni sehemu muhimu ya afya yetu kwa ujumla, na uchunguzi wa mara kwa...
Salaam!
Ni njia zipi unatumia kulinda usafi wa kinywa chako na kufanya mdomo usitoe harufu.
Kuna kuswaki kila baada ya mlo lakini wakuu imagine unaswaki asubuhi na jioni during day ila tambua kuna ile umepata breakfast then mchana lunch alafu mdomo unabaki bila usafi wa uhakika.
Kuna harufu...
Maambukizi ya utando wa kinywa (Stomatitis), inahusu kuvimba na uwekundu wa utando wa mdomo (oral mucosa) ambayo husababisha maumivu na ugumu wa kuzungumza, kula, na kulala. Inaweza kuathiri mashavu ya ndani, ufizi, midomo na ulimi. Kuvimba husababisha kuundwa kwa vidonda vya mdomo, kimoja au...
Nishawahi kuipata pisi kali sana ilikuwa naenda kununua groceries pale kwake na tukazoeana.
Chapa chap wala sikutaka stori za kaka na dada ama urafiki nikapenyeza ajenda yangu kidume kwamba nimezimika, mtoto akaelewa.
Siku ya jumapili haendi kazini basi ndo tukapanga liwalo na liwe, mie nikiwa...
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
askari
ccm
kauli
kinywa
kuhusu
lissu
lisu
maana
mama samia
nani
rais
rais samia
risasi
samia
samia suluhu hassan
serikali
tanzania
tundu
tundu lissu
tundu lisu
video
Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa nchini umeonesha zaidi ya Watanzania Milioni 47 wameoza Meno na sababu ikitajwa kuwa ni kutosafisha mdomo inavyopaswa.
Pia, Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema uchungizi wao umebaini...
Wakuu kifungua kinywa Ni kitu muhimu Sana Je unapendelea kifungua kinywa gani
Kwa sisi watu wa Pwani lazima tutangulize kiburudisho Adimu kinaitwa Alikasusu Mujarabu.
nb wale ambao kwa bahati mbaya hamjawai kufika hapa Dsm au Zanzibar Jambiani , Tunaomba kuelekea mwisho wa mwaka mtume majina...
Kuna baadhi ya tabia hupaswa kufuatwa ili afya ya kinywa na meno iweze kubaki imara siku zote.
Kwa mujibu wa Kituo Cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa cha Marekani (CDC), haya ndiyo mambo ya msingi kuzingatia unapokuwa unatumia mswaki wako.
Unashauriwa kubadili mswaki wako kila baada ya miezi...
Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini ,
ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
Mratibu wa Afya ya Kinywa na Meno Taifa kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kwa mwaka 2021, takriban wagonjwa 600 waligundulika kuwa na saratani za kinywa na meno.
Dk. Nzobo alibainisha hali hiyo Septemba 7, 2022, Mkoani Dar es Salaam katika mahojiano na Nipashe wakati wa Kongamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.