Salute,
Aliyekuwa rais wa Tanzania, awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli, alikuwa na sura kuu mbili:
1. Ndie kiongozi anayetuhumiwa kwa udicteta, ukatili, kunyang'anya watu pesa, ufisadi na kuzima democrasia, lkn kundi hili linalo mtuhumu ni kundi ambalo alilishughurikia kiukamilifu na...