Habari wana jamvi!?
Nimekua katika masuala ya kitaifa kwa mda wa miaka 20, nimeona kwa namna tofauti tofauti jinsi mambo yanavyo endeshwa kisiasa, kiuchumi, mpaka kimadaraka na kugundua hiki kitu
Walimu walio wengi, katika nchi hii ndio wengi wajuzi na wenye taarifa nyingi kuhusu taifa hili...